Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Hapo alifuata wadada tu nyama mbona zipo nyingi tuyaaani mdau ulikosa cha kuobserve zaidi ya rangi za wadada? ulifata nyama au mwanamke?
Hapo alifuata wadada tu nyama mbona zipo nyingi tu
eh!bhabha kooku taratibu iwe bhojo mwe.kwani mwanya huwa uko kwenye nini? usinifanye nikasema mengine..!lolz!
eh!bhabha kooku taratibu iwe bhojo mwe.
ha!ha!haa iwe mshaija bhojonizame ndani eenh? nomanya inye?
yaaani mdau ulikosa cha kuobserve zaidi ya rangi za wadada? ulifata nyama au mwanamke?
Kujipiga deki ndo habari ya mjini kwa sasa. Ila kusema ukweli wanaume mna shida, hivi mnajisikiaje mnavyo do na wanawake sura fanta mgongo pepsi? hamuogopi mchanganyiko wa rangi? Me kwa kweli mwanamke mwenzangu akijichubua namuogopa, hata akipika chakula napata shida kula.