Nilicho kigundua juu ya JamiiForums

Nilicho kigundua juu ya JamiiForums

Majuz wakati natoka mkoa naelekea dar kwenye sit yangu nilikaa na Mzee mmoja .

Wakati tunapiga story mbili tatu tukajikuta tumeingia kwenye Jamiiforums .Mzee akasema naye ni member wa Jamiiforums na anapenda sana michango na hoja fikirishi za Mshana.

Wakati anasema hivyo tulikuwa tupo msata tukacheka sana na Safar ikawa inaendelea...

Sikujua kama Jamiiforums ina member wazee nilijua humu tupo vijana tu.Mzee akaendelea napenda sana kuchangia hoja mbali mbali lakin naogopa kuvunjiwa heshima yangu na watoto wadogo .....unaweza ukatoa hoja yako ukaishia kutukanwa maana hatujuani humu.

Nilicho gundua ni kwamba humu Jamiiforums kumbe wapo watu wazima sana kwa hiyo tusipende kutukana maana waweza mtukana baba yako au mama yako bila ya kujua ukaishia kupata laana..tu

Kutoka jamboforums.com mwaka 2006 mpaka kuwa jamii forums mwaka 2008 ni takribani miaka 9 hivi...kwa nn usigundue miaka hiyo kama kuna wazee!!!!au umeanza kutumia smart 4n wakati wa makinikia!!!!?"PAMBANA NA UGUNDUZI WAKO"
 
Majuz wakati natoka mkoa naelekea dar kwenye sit yangu nilikaa na Mzee mmoja .

Wakati tunapiga story mbili tatu tukajikuta tumeingia kwenye Jamiiforums .Mzee akasema naye ni member wa Jamiiforums na anapenda sana michango na hoja fikirishi za Mshana.

Wakati anasema hivyo tulikuwa tupo msata tukacheka sana na Safar ikawa inaendelea...

Sikujua kama Jamiiforums ina member wazee nilijua humu tupo vijana tu.Mzee akaendelea napenda sana kuchangia hoja mbali mbali lakin naogopa kuvunjiwa heshima yangu na watoto wadogo .....unaweza ukatoa hoja yako ukaishia kutukanwa maana hatujuani humu.

Nilicho gundua ni kwamba humu Jamiiforums kumbe wapo watu wazima sana kwa hiyo tusipende kutukana maana waweza mtukana baba yako au mama yako bila ya kujua ukaishia kupata laana..tu
Baba na mama yangu wapo Kantalamba huko JF wataijuaje Mkuu?

Waliopo hapa itabidi tuvumiliane tuu
 
Kweli kabisa Mkuu, hata mimi Mzee wangu nilimdownlodia JF app yake kwenye kifaa chake, hua anapita kama guest user.
 
We hujui kuwa wazee nao hawana heshima,kama wewe ulivyokuwa huna heshima..!!hapa ni hoja kwa hoja ama tusi kwa tusi.laana haiji kwa kutokujuana bali huja kwa kujuana."PAMBANA NA HESHIMA YAKO.
Unaonaje ukimtusi baba yako humu bila ya we kujua huoni utakuwa umejitafutia mikosi ya burebure.Hakuna kitu cha tusi kwa tusi Bali tusi kwa Busara tu mkuu
 
Baba na mama yangu wapo Kantalamba huko JF wataijuaje Mkuu?

Waliopo hapa itabidi tuvumiliane tuu
Wanaweza wasie baba na mama yako hata mjomba yako ,baba yako mdogo au shangazi yako kikubwa tusipende kujibu ovyo ovyo au kwa mitusi maana haujui unaye mjibu hivyo ni Nani kwako
 
Nimeipenda hii nisiwe mwongo. Yani JF nikama msumari wa jeneza, unaingia kwa nyundo, unatoka kwa nyundo
We hujui kuwa wazee nao hawana heshima,kama wewe ulivyokuwa huna heshima..!!hapa ni hoja kwa hoja ama tusi kwa tusi.laana haiji kwa kutokujuana bali huja kwa kujuana."PAMBANA NA HESHIMA YAKO.
 
Majuz wakati natoka mkoa naelekea dar kwenye sit yangu nilikaa na Mzee mmoja .

Wakati tunapiga story mbili tatu tukajikuta tumeingia kwenye Jamiiforums .Mzee akasema naye ni member wa Jamiiforums na anapenda sana michango na hoja fikirishi za Mshana.

Wakati anasema hivyo tulikuwa tupo msata tukacheka sana na Safar ikawa inaendelea...

Sikujua kama Jamiiforums ina member wazee nilijua humu tupo vijana tu.Mzee akaendelea napenda sana kuchangia hoja mbali mbali lakin naogopa kuvunjiwa heshima yangu na watoto wadogo .....unaweza ukatoa hoja yako ukaishia kutukanwa maana hatujuani humu.

Nilicho gundua ni kwamba humu Jamiiforums kumbe wapo watu wazima sana kwa hiyo tusipende kutukana maana waweza mtukana baba yako au mama yako bila ya kujua ukaishia kupata laana..tu
Baba Jesca nae yupo humu!
mkue makini
 
Kuna mzee mstaafu mchaga nilimfuma anaangalia jamii forum ila sababu ya akili zake anaangalia kupitia web based kwenye simu na sio app. Huyu ni mtaalamu kompyuta anajua aki download app itakula kwake
 
Hahahahahahahaa kama mm mzee wa miaka 30 nipo na vijana wa chuo humu na matatizo yao hahahahahahaaa kijana mshana hujambo na vijana wenzako akina kiranga
 
Siku mzee akinipa makavu live na mimi naivizia simu yake nijue anatumia jina gani JF, siku akichangia tu na mimi nampa makavu live, najua hatonijua
 
Back
Top Bottom