Nilichapa bakora mtoto wa jirani akafa

Huyu jamaa alikuwa na hasira za shule,labda mpenzi wake alimkataa.
 
Aisee!!!
 
Nyie endeleeni kusema huu ni uwongo, huu mkasa nimeuelezea juu juu tu sitaki kuingia deep inside nisije nikazalisha mambo mengine
 
Mzee hapo mwishoni umeongea point sana kuwa kila mzazi abebe mzigo wake mwenyewe sasa mbona unanianguha kwenye uzi uliosema unamgombania mtoto asie wako, achana na huyo mwanamke ampeleke huyo mtoto kwa baba ake.
 
Huyo mtoto itakuwa ulimpiga sehemu mbaya

umesoma clinical medicine alafu hujui sehemu hatalishi ktk mwili wa binaadam?

Ningekuwa hakimu ningekufunga japo miaka 5 kwa kosa la kutoijua vizuri taaluma yako
 
UMEUA MTU ... damu inakufata nyuma unaanza kuweweseka
Biblia inasema wanaofanya ulawiti waume kwa waume wauwawe na DAMU YAO ITAKUWA JUU YAO!! NA USIMNYIME MTOTO MAPIGO!! Jamaa ana nafasi yake mbinguni tayari. Ndiyo maana hata Jaji kampa adhabu ndogo na kakaa mahabusu muda mfupi, wenzake wanakaaga miaka 7 halafu wanaishia kifungo maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…