Nilianza mbele

Nilianza mbele

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
544
Reaction score
151
Nilianza mbele kama kawaida! lakini akawa amechoka,nikamgeuza nyuma akawa analalamika mmh!,jasho likaanza kumtoka...

...nikataka nimuweke style nyingine ili nimuwekee mashine lol! Si akaanza kulia,ikabidi nimuache.Kweli kumnyoa nywele mtoto mdogo kaazi sana!
 
Teh aisee story yako utadhani ni yale makitu
 
Back
Top Bottom