Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

Umelidandia na hili baada la Mgodi wa Kitunda kubuma. La DAS na mafuta kudunda sasa unatafutia Kiki hili.

Mi sio mwana CCM ila kutumia bendera ya CCM hakujustify kuwa katumwa na CCM. Hili nalo sio la kutumia nguvu kufikiria wala kulishupalia mkuu. Bendeara za CCM au CDM zipo tu mtaani. Hata mi naweza nunua za CDM na kukutwa navutia nazo bangi, haitajustify kuwa nimetumwa na CDM mkuu.
Usikute na wewe ni mhamiaji haramu
 
Imagine mbowe akaruhusu denocrasia pale chadema Dude kama hili likashikilia uenyekiti... hali ya mambo itakuweje??
Tunamshukuru Mbowe kwa kutulindia CCM yetu tunampenda mbowe viva mboweeee adumu mboweeee
 
Hivi wewe kwenye maisha yako unapigania nini ?
 
Hahahahahah infact napigania Democrasia ya kweli. Najua kwanini umeuliza swali hili ila mimi siwez hata siku moja kuwa upande wa CCM humu ama CDM isipo kuwa watu makini kama mdude, china wa china, luhaga mpina, deo filikunjombe RIP
Ndio miamba yangu
 
16 Novemba 2022 niliandika katika mtandao wa Twitter au X kama unavyoitwa kwa sasa kwamba vigogo wengi ndani ya CCM wanatumia bendera za CCM hasa wakati wa chaguzi kusafirisha wahamiaji haramu. Miezi 16 baadaye yani March 24, 2024 linakamatwa gari lenye bendera ya CCM likisafirisha wahamiaji haramu.

Watu wengi wako CCM sio kwa ajili ya maslahi ya nchi isipokuwa wengi wako huko kwa ajili ya maslahi binafsi. Bendera ya CCM inatumika kama kichaka cha kuficha wezi na kuliumiza taifa.

Mtandao huu wa kusafirisha wahamiaji haramu ni mkubwa sana unahitaji vyombo vya kimataifa kuudhibiti. Nikiwa gerezani nilifanya uchunguzi kiasi kuhusu biashara hii ya human trafficking kilichonisikitisha ni kwamba wengi wanaofanya biashara hii ni vigogo wa ccm na polisi. Mmoja wa vigogo wa polisi nilimuonya wakati wa kikao cha wiki ya sheria kilichowashirikisha wafungwa, mahabusu na wadau wa sheria wakiwepo polisi pale gerezani. Nilimuambia ajichunge kuna mafaili yake mabaya. Mwaka mmoja baadaye 2022 vigogo wawili wa polisi akiwemo yule mmoja niliyemuonya walikamatwa Mbeya wakisafirisha wahamiaji haramu wakawekwa lock up kisha baadaye wakahamishwa vituo vya kazi kama adhabu bila kufikishwa mahakamani wala kufukuzwa kazi. Hii inadhihilisha kwamba biashara hii ina mtandao mkubwa.

Huko Iringa kada, mfadhili na kiongozi wa CCM magari yake yalikamatwa yakisafirisha wahamiaji haramu. Kilichotokea ni kwamba magari hayo yaliachiwa na baadaye madereva wake waliachiwa huku afisa uhamiaji aliyeonyesha uzalendo wa kuhakikisha kesi hiyo inafika mahakamani alijikuta kwenye matatizo. Kumbuka sheria ya kusafirisha wahamiaji haramu ni kifungo cha miaka isiyopungua 20 jela na kutaifisha gari zilizokamatwa katika biashara hiyo.

Kwa kumalizia ni kwamba wanaCCM wa kweli ni mzee Warioba na Mzee Butiku hawa wengine ni vibaka tu wanaotumia CCM kwa maslahi yao bianafsi.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma > Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

View attachment 2944066
HIVI HII TAMAA YA MTU MMOJAMMOJA KWANINI USUNGESEMA TU JAMAA MMOJA AKAMATWA NA WAHAMIAJI AKIWANA GARI LA CCM KULIKO KUICHAFUA CCM YOTE KANA KWAMBA WOTE WANAFANYA HIYO KAZI NI SAWA TU NA PALE CHADEMA UKISEMA KUWA BWANA MBOWE ANAKULA RUZUKU YA CHAMA NA NI MBINAFSI KULIKO KUSEMA VIONGOZI WA CHADEMA WOTE WANAKULA RUZUKU HEBU JARIBU KUFICHA KIDOGO UJINGA WAKO MDUDE
 
AISEE UIKUWA UNAENDA VIZURI ULIPOKOSEA NI KWA MDUDE HILO NI JEMBE AU NI KAKISU TU TENA KISU BUTU HANA LOLOTE NDIYO MAANA HAWAMPI HATA NAFASI YA UONGOZI CHADEMA
 
Umelidandia na hili baada la Mgodi wa Kitunda kubuma. La DAS na mafuta kudunda sasa unatafutia Kiki hili.

Mi sio mwana CCM ila kutumia bendera ya CCM hakujustify kuwa katumwa na CCM. Hili nalo sio la kutumia nguvu kufikiria wala kulishupalia mkuu. Bendeara za CCM au CDM zipo tu mtaani. Hata mi naweza nunua za CDM na kukutwa navutia nazo bangi, haitajustify kuwa nimetumwa na CDM mkuu.
unatetea nn sasa kama na ww sio walewale. anaweza asiwe mwanachama lkn anatumia njia iayotumika na wengi kufanikiwa ktk utapeli wao.
 
Kwani hao wanakuja nchini kutafuta MAISHA Au wanapita kwenda nchi zingine? Hivi watanzania wakikamatwa malawi wanaenda msumbiji sisi tutawaelewa vipi malawi?
Hizi zote ni sera kandamizi nachojua maisha popote hii mipaka WAZUNGU tu wametuchezea akili KWENYE scramble and partition of africa.

Africa ni moja tu tusibaguane sana na kupeana majina ya kijinga eti wahamiaji haramu

Wahamiaji halal ni wapi
 
AISEE UIKUWA UNAENDA VIZURI ULIPOKOSEA NI KWA MDUDE HILO NI JEMBE AU NI KAKISU TU TENA KISU BUTU HANA LOLOTE NDIYO MAANA HAWAMPI HATA NAFASI YA UONGOZI CHADEMA
Mkuu nipo mbeya kuna mambo nineyasikia kuhusu mdude nikaamua nimkubaki. Infact nilikuwa namuona ndezi tuu ila huyu jamaa anakitu cha tofauti kidogo. Usimchukulie kirahisi
 
HIVI HII TAMAA YA MTU MMOJAMMOJA KWANINI USUNGESEMA TU JAMAA MMOJA AKAMATWA NA WAHAMIAJI AKIWANA GARI LA CCM KULIKO KUICHAFUA CCM YOTE KANA KWAMBA WOTE WANAFANYA HIYO KAZI NI SAWA TU NA PALE CHADEMA UKISEMA KUWA BWANA MBOWE ANAKULA RUZUKU YA CHAMA NA NI MBINAFSI KULIKO KUSEMA VIONGOZI WA CHADEMA WOTE WANAKULA RUZUKU HEBU JARIBU KUFICHA KIDOGO UJINGA WAKO MDUDE
Ukweli lazima usemwe,CCM ni chaka la uovu wote unaofanyika katika nchi hii.
 
16 Novemba 2022 niliandika katika mtandao wa Twitter au X kama unavyoitwa kwa sasa kwamba vigogo wengi ndani ya CCM wanatumia bendera za CCM hasa wakati wa chaguzi kusafirisha wahamiaji haramu. Miezi 16 baadaye yani March 24, 2024 linakamatwa gari lenye bendera ya CCM likisafirisha wahamiaji haramu.

Watu wengi wako CCM sio kwa ajili ya maslahi ya nchi isipokuwa wengi wako huko kwa ajili ya maslahi binafsi. Bendera ya CCM inatumika kama kichaka cha kuficha wezi na kuliumiza taifa.

Mtandao huu wa kusafirisha wahamiaji haramu ni mkubwa sana unahitaji vyombo vya kimataifa kuudhibiti. Nikiwa gerezani nilifanya uchunguzi kiasi kuhusu biashara hii ya human trafficking kilichonisikitisha ni kwamba wengi wanaofanya biashara hii ni vigogo wa ccm na polisi. Mmoja wa vigogo wa polisi nilimuonya wakati wa kikao cha wiki ya sheria kilichowashirikisha wafungwa, mahabusu na wadau wa sheria wakiwepo polisi pale gerezani. Nilimuambia ajichunge kuna mafaili yake mabaya. Mwaka mmoja baadaye 2022 vigogo wawili wa polisi akiwemo yule mmoja niliyemuonya walikamatwa Mbeya wakisafirisha wahamiaji haramu wakawekwa lock up kisha baadaye wakahamishwa vituo vya kazi kama adhabu bila kufikishwa mahakamani wala kufukuzwa kazi. Hii inadhihilisha kwamba biashara hii ina mtandao mkubwa.

Huko Iringa kada, mfadhili na kiongozi wa CCM magari yake yalikamatwa yakisafirisha wahamiaji haramu. Kilichotokea ni kwamba magari hayo yaliachiwa na baadaye madereva wake waliachiwa huku afisa uhamiaji aliyeonyesha uzalendo wa kuhakikisha kesi hiyo inafika mahakamani alijikuta kwenye matatizo. Kumbuka sheria ya kusafirisha wahamiaji haramu ni kifungo cha miaka isiyopungua 20 jela na kutaifisha gari zilizokamatwa katika biashara hiyo.

Kwa kumalizia ni kwamba wanaCCM wa kweli ni mzee Warioba na Mzee Butiku hawa wengine ni vibaka tu wanaotumia CCM kwa maslahi yao bianafsi.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma > Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

View attachment 2944066
Dhambi kubwa sana
 
Umelidandia na hili baada la Mgodi wa Kitunda kubuma. La DAS na mafuta kudunda sasa unatafutia Kiki hili.

Mi sio mwana CCM ila kutumia bendera ya CCM hakujustify kuwa katumwa na CCM. Hili nalo sio la kutumia nguvu kufikiria wala kulishupalia mkuu. Bendeara za CCM au CDM zipo tu mtaani. Hata mi naweza nunua za CDM na kukutwa navutia nazo bangi, haitajustify kuwa nimetumwa na CDM mkuu.
We ni Lumumba tu.....msafara wa Makonda kule Katavi ulikutana na Kasia hii hii pia ya kusafirisha wahamiaji unaofanywa na vigogo wa ccm

Labda kama na wewe ni mnufaika
 
Back
Top Bottom