Niliandika habari kuhusu wabunge 19 waliovuliwa uwanachama kuwa “utashanga kuwaona bungeni “ ukafutwa ila matokeo ndi haya hapa

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,727
Nimesikitishwa sana na hapa JF kupangiana hata kama sio wahandishi wazuri.
kila mtu anaweza kufikisha jambo lake ili asiwe nje ya masharti.

Matokeo ni haya :
********
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wamevuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya baraza kuu la chama hicho kutupilia mbali rufaa yao ya kupinga kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho, leo wamefika bungeni jijini Dodoma kuendelea kushiriki vikao vya Bunge la bajeti.

#AzamTVUpdates #Wabunge19Chadema #Chadema #AkinaHalimaMdee #EsterMatiko
IMG_6820.jpg

IMG_6822.jpg

IMG_6821.jpg

IMG_6823.jpg
 
Kwani kikawaida, kisheria na kikanuni za kibunge inakuwaje?

Au labda ni mpaka spika aletewe barua rasmi toka kwa katibu wa chama husika ndio taratibu za kuwavua ubunge zinaanza.
 
Nimesikitishwa sana na hapa JF kupangiana hata kama sio wahandishi wazuri.
kila mtu anaweza kufikisha jambo lake ili asiwe nje ya masharti.

Matokeo ni haya :
********
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wamevuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya baraza kuu la chama hicho kutupilia mbali rufaa yao ya kupinga kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho, leo wamefika bungeni jijini Dodoma kuendelea kushiriki vikao vya Bunge la bajeti.

#AzamTVUpdates #Wabunge19Chadema #Chadema #AkinaHalimaMdee #EsterMatikoView attachment 2222723
View attachment 2222724
View attachment 2222725
View attachment 2222726
Unajiona mjanja! Hao bado ni wabunge mpaka bunge litakapowapa barua, Chadema iliwafukuza uanachama siyo ubunge, hawana mamlaka hayo, jaribi kujifunza taratibu za ajira.
 
Sio mjanja ila funika kombe mwanaharamu apite
 
Nimesikitishwa sana na hapa JF kupangiana hata kama sio wahandishi wazuri.
kila mtu anaweza kufikisha jambo lake ili asiwe nje ya masharti.

Matokeo ni haya :
********
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wamevuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya baraza kuu la chama hicho kutupilia mbali rufaa yao ya kupinga kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho, leo wamefika bungeni jijini Dodoma kuendelea kushiriki vikao vya Bunge la bajeti.

#AzamTVUpdates #Wabunge19Chadema #Chadema #AkinaHalimaMdee #EsterMatikoView attachment 2222723
View attachment 2222724
View attachment 2222725
View attachment 2222726
Hawana aibu kabisa wadada hawa. Kana kwamba kufukuzwa Cdm haitoshi, wanasubiri mpaka wafukuzwe na bungeni ndio wakubali kuwa hawakubaliki tena!!!
 
If they switch immediately to the popular party, will their positions (as members of Parliament) be justified?
 
Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam imeridhia wabunge 19 wa Viti Maalum ambao wamevuliwa uanachama na Chadema kuendelea na ubunge mpaka maombi yao ya kibali cha kufungua kesi kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho ulioridhiwa na Baraza Kuu wa kuwavua uanachama yatakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
#mwananchi
#mwananchiupdates
IMG_6896.jpg
 
#mwananchiupdatesView attachment 2226959
Sarakasi na rangi za kila aina tutaziona
 
Back
Top Bottom