Niliambiwa nivae hivi viatu nikakataa!!

Niliambiwa nivae hivi viatu nikakataa!!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,660
Reaction score
89,500
truman-green-men-casual-shoes-gn6017.jpg

baada ya kukataa nikavaa viatu vyeupe sasa najiuliza hao walioniambia nivae hivyo viatu baada ya nusu muongo je, wataniambia tena nivivae au nawenyewe watavivua..? au ndo itakuwa ulikuwa unanisubiri mimi au ulikuwa unaisubiri saa nzima..!!
 
Tafsida hizi zina wakalimani wa kujitolea ujue
 
Tafsida hizi zina wakalimani wa kujitolea ujue
kwani tatizo hapo liko wapi mkuu..? wenyewe watafsiri wawezavyo lkn kumbuka tunatofautiana uwazaji na utendaji
 
Ujumbe utaeleweka tu, kiatu kipi sahihi kuvaliwa

upload_2016-12-20_17-5-22.png
 
Duuu hyo rangi ......afu ndani kama kineandikwa TRUMP....[emoji5]
 
Back
Top Bottom