kwa bahati ndugu zangu leo nimebahatika ku attach picha ya setup ya NILESAT,SES 5,AMOS 5,katika dish ya ft 6, hiyo lnb ya rangi ya silver ya prime focus ku band ndo nnayopatia channel za nilesat kama dubai one,mbc nk,hiyo lnb ya chini yake yenye rangi nyeupe na mfuniko mwekundu,ndiyo napatia channel za ses 5,kama tv congo,france 24 nk,na hyo lnb nyeusi yenye mfuniko mweupe ni kwa ajili ya amos 5,na hapo napata local channels katika package ya continental ndugu zangu