Nikuweka mambo sawa au kuna ubadhilifu??

Hivi unaanzaje kuchukua simu ya mwenzio na kuanza kui-search? mi hainiingii akilini! simu ni yake. na huyo mtu ana watu wanataniana, wanatumiana sms za utani nk. sasa kusearch simu yake si kujitafutia ugonjwa wa moyo? Simu ni private thing bwana, yaani mtu asiwe na uhuru na simu yake kisa kaoa/kaolewa? tupeane nafasi jamani

Unafanya hivi kwa mke wangu damn you kwangu mimi hakuna kitu kama hicho message za utani kwa mke wangu hata mimi hiyo hainiingii akilini pia na it depends message hizo za utani ni za aina gani.
 
Unafanya hivi kwa mke wangu damn you kwangu mimi hakuna kitu kama hicho message za utani kwa mke wangu hata mimi hiyo hainiingii akilini pia na it depends message hizo za utani ni za aina gani.

Utani niutani haujalishi hata akimwambia nakuona kama umechoka jana mzee kazidisha dozi niutani!!!je nikwanini ifikapo saa ya kurudi nyumbani uhakikishe ume delete all records??that is the point!!
 
Ukitaka ugonjwa wa moyo we shika simu ya mume/mkeo utakufa siku si zako. Bwana wewe simu ni mali ya mtu mmoja na ndo maana wanaita simu ya mkononi kama si hivyo wangesema simu ya wote. Usishike utakufa na BP bure kumbe sometimes unakuta watu wanataniana tu wewe roho pwaaaa achana na hayo mambo kabisa vumilia na uamini kuwa anakupenda na ni wako peke yako basi. simu zimeachanisha ndoa nyingi sana so usije ukaachana na mumeo/mkeo kisa simu achana nayo kabisa usiiguse ni presuere unatafuta. Mimi siku moja kwa bahati mbaya aliniambia hebu nisomee hiyo msg inasema nini alikuwa bafuni nilichanganyikiwa aliandikiwa mpenzi nashukuru kwa penzi la jana je tutarudia lini? Nusu nife nililazwa BP juu nikasema nooooo sishiki simu ya mtu tena milele.
 
Utani niutani haujalishi hata akimwambia nakuona kama umechoka jana mzee kazidisha dozi niutani!!!je nikwanini ifikapo saa ya kurudi nyumbani uhakikishe ume delete all records??that is the point!!

Naitumia simu yangu kwa mambo ya msingi na ndio maana sitaanza kuhangahika kudelete all the records ama kuanza kudelete message.
 
Unafanya hivi kwa mke wangu damn you kwangu mimi hakuna kitu kama hicho message za utani kwa mke wangu hata mimi hiyo hainiingii akilini pia na it depends message hizo za utani ni za aina gani.

tena wewe ndo utamfanya mkeo awe anadelete sms zote. hata zile ambazo kaulizwa tu "how are you my dear" itabidi zifutwe.
The Finest, wivu mwingine hauna maana, utakufa kwa pressure bure, wakati labda mtu wanataniana tu. yaani wewe ungekuwa mume wangu tungeshakuzika zamaaaaaaaaaaaani.
 
Back
Top Bottom