Nikushirikishe maneno haya rafiki wa online

Nikushirikishe maneno haya rafiki wa online

AMEN mkuu, Mungu wa mbinguni azidi kukuongoza uendelee kutuletea mafundisho mazuri kama haya.
 
Dhambi ya uzinzi imetuangusha walio wengi..
Tuzidi kuomba na kufunga kwa ajili ya kuishinda dhambi hii....!
 
Asante sana mkuiu josephmasamaki


Tutor B asante mkuu kwa ufafanuzi nilikuwa nishasema dah sasa huyu jamaa mbona anatamka matusi wazi wazi hivyo
Mr Rocky mi nilijua jina lako lina reflect uenyeji wa mwanza #RockCity ... asante pia kwa maelezo ya ziada mkuu Tutor B ! Ngoja niongezee na picha ya #NEMBE
Nembe.JPG
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwa neno,Mungu azidi kukubariki
 
Sikuyanyima macho yangu chochote yalichokitamani, wala sikuuzuia moyo wangu katika furaha yoyote.
Lakini mwisho wa siku nikaja tambua mambo yote ni BURE, ni sawa na kupaka rangi upepo.
 
Back
Top Bottom