Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

Hujaupata ndo maana unaona it's easy,ugonjwa wa UKIMWI initially unaanza kukuharibu psychology yako and mental disturbance ndo uje body/physical torture...worldwide mental diseases are difficult to cure,play safe fellow!!
Mi xjaelewa apo, ebu ttuambie ayo maneno kwa kiswahili
 


Kunaa technoligia ya kutambua virusi hata kama vikiwa kwenye hibernation state..Upimaji wa njia ya kawaida wanachofanya ni ku- induce fake attack mwili unatoa immuny repsonse. Kirusi hata kama hakipo ukipeleka attack mwili uta-react kwa sababu cell zinakuwa na kumbukumbu ya previous known attack ambayo ndo wanajua kuwa ukimwi upo. lakini kuna upimaji ambao hautumii immuny response.
Wanapima kwa kutumia spectrum tofauti kabisa. All in all kwa technologia ya sasa haiwezekani wasiweze kugundua virusi kwa kuwa tu mtu anatumia dawa.
 
kaka fungua ubongo wako ,acha kufikiria ndani ya box,mtuawa/mtauliwa hadi lini kwa nadharia za kutungwa na watu wachache? ushawahi kumuona kirusi wa HIV? umbo lake likoje? ushawahi kuona hata mchoro wake? achenikudanganywa ili mtumie ARV mtajirishe watu then mjifie kipumbavu/.
HIV ni nadharia tu ,kiuhalisia hakuna kitu kama hicho,its an imaginary Virus ambao hawajawahi kuexist
 
Uongo kuwa mtu akitumia arv kwa miezi sita anaweza kuwa negative. Umesema kweli kuwa kwa mtu anayetumia arv uwezo wa kuambukiza ni mdogo ila haimaanishi kuwa hawezi kuambukiza anaweza kuambukiza ila uwezekano ni mdogo. Bado precautions lazima ziendelee kuchukuliwa. Kumbuka ukipata ukimwi utakuwa positive milele.
 
Kwa hakri hizi tunamhitaji Magufuli atunyoshe kwa kweri.
 
Kwa hakri hizi tunamhitaji Magufuli atunyoshe kwa kweri.
hakri ndio nini?
anyaway endeleeni kufa kama kuku maana mshafungwa mota kwenye bongo zenu hamuwezi kufunguliwa akili zenu mpaka kiama
 

duh hii nimeipenda...so it mean mie kwa mfano nikapandikiza makudusu hiv alafu mwanawane naendelea kutumia ARV na huku naendeleaa kuwagegeda warembo hawawezi nishitaki kuwa nimewaambukiza virusi?
 
Kiongozi sijakupata. unaweza kudadavua ni kwamba hakuna kirusi wa hiv au!?
 
Naomba unisaidie kuelewa hawa watu wenye HIV /AIDS kwenye hii link walitumia muujiza gani?
https://www.facebook.com/
 
Nimesoma ujumbe uliotuma na kuuelewa mengi uliyoandika yana ukweli kabsa
Kurekebisha sehemu moja kuhusu matumizi ya dawa kwa ufasaha na vipimo vya HIV

Ni kwamba kwa vipimo vya sasa vya HIV ni vigumu sana kipimo kushindwa kuonesha kama MTU ameathirika, hivi vipimo hudetect antibody za VVU na sio wingi wa virusi kama wengi wanavyojua. Hata kama unatumia dawa au hutumii,kipimo kitaonesha.Vipimo vya sasa vya HIV SD bioline na UNigold sensitivity na specificity yake ni kubwa mno.Kwa lugha rahisi uwezo wa vipimo hivi kuonesha kama umeathirika au hujaathirika ni mkubwa mno . Hivyo basi haviwezi shindwa kuonesha kama umeathirika.
Unigold kwa kuwa specificity yake ni kubwa kwa mgonjwa anayetumia dawa vizuri kinaweza kisioneshe kama umeathirika

Ila SD bioline piga ,ua kitareact tuuuuuu

Shida huwa inatokea endapo seroconversion haijatokea (ambapo antibody dhidi ya HIV hazijazalishwa) hapa kipimo hakitaonesha kama ni mwathirika. Hii hutokea within one week to two weeks after HIV infection na chance ya infectivity ni kubwa maana hiki ndo kipindi virusi huzalishwa kwa wingi.
 
Endeleeni kudanganyana kuwa ARV zinafanya HIV ipone... Mkimaliza kudanganyana mnitagi....
 
Mh!!!
 
Lakini kwann imekuwa ni dhana sasa hata kwa baadhi ya watoa semina kwamba,kwa mtu ambaye anaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwamba kama ni mfuasi mzuri wa dozi za ARV'S anao uwezo mdogo sana wa kumuambukiza mtu asio na hio shida kwanini...????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…