Nikupe pesa au nikufikishe kileleni?

Nikupe pesa au nikufikishe kileleni?

unajua ni kwa nini wanaume tunakufa mapema ni kupenda sana sifa za wanawake kuwa tunajua kugegeda
laiti tungejua ni umri wa miaka 2 tunaupunguza kwa sifa hizo basi kila mtu angepambana na hali yake
Mkuu unapingana na sayansi inayo conclude kuwa kungonoka kunaongeza umri wa kuishi?
 
Mimi sifanyi biashara ya kipumbavu kama hiyo yani nimfikishe kileleni na pesa nimpe
Mkuu stamina kwenye yale mambo yetu ni bahati. Sidhani kama kuna mwanaume anayekubali kuonekana mchovu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom