uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,945
Wadau salamu kwenu
Kama kichwa kinavyojieleza japo mada ina ukakasi naomba tuijadili. Wanawake mseme mnataka kipi kati ya pesa au kufikishwa kileleni?
Mimi binafsi naweza kutoa kimoja kati ya hivyo, ukitaka pesa yangu nitakupa ila kileleni hutafika. Na ukitaka kufika kileleni nitakufikisha ila pesa hutapata.
Nawasilisha Popoma
@Gentamycine,mwayungi
No formula
