Izzo Be ft Barnaba na Shaa: Love Me

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Here they talk let ’em talk girl
Now what they talk
Here they talk let ’em talk girl
Now what they talk
Here they talk let ’em talk girl
Now what they talk
Here they talk let ’em talk girl
Ah haa

Kama kijana nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don’t judge me (don’t judge baby don’t judge baby eh)
Baby love me (I love you baby I love ya)

Mapenzi hatujaanza juzi long time niko nawe
Naomba radhi nikikuudhi nahisi nimeumbwa na wewe
We barafu wa moyo wangu acha leo niweke wazi
Labda shahidi yangu Mungu nikiwatoa wazazi
Nakumbuka toka shule enzi za sekondari
Baby ulikuwa pale we ulionyesha kunijali
You’re the one in a million naapa kwa jina langu
Ah Jose Chameleone
Sina valuvalu baby’
Tangu Izzo naitwa Imma we ulikuepo ulisimama
Matatizo yalituandama we hukuchoka ulipambana
We ndo maana ya mapenzi mapenzi yanakuogopa
Hawa vicheche ni washenzi hawajui wanachotaka
Ntakujali na kukuheshimu acha woga mi bwana ako
Ya kwetu jukumu letu hayawahusu shoga zako
We ndo Alicia mi ndo Swizz tupa mbali Jay Z Beyonce
Shaa ndo keys MJ beats anayebisha shauri yake.

Kama kijana nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don’t judge me (don’t judge baby don’t judge baby eh)
Baby love me (I love you baby I love ya)

Kama ku-cheat nisha-cheat sikufichi honey
Nisamehe yo my sweet honey ni pepo sio mi
Ruksa kamba we nifunge nishatua hapa
We ni jimbo nami mbunge nishatua hapa
Mapenzi moto moto mpaka joto linaona wivu
Nikuite nani ama mtoto Leo baby naomba kavu
We mtamu kushinda asali hakyamungu utaniua
Acha waseme mi sijali haki ya Mungu utaniuaa
Acha basi nikusifie sifa ulizonazo
Ila baby usijisikie ikawa kama chanzo
Guu lako sio la bia baby guu la champagne
Leo wazi nakuambia hey you got that thing
Midomo wet sio mikavu ona wanaona wivu
Umejazika si sana maana sana inaboa
Hasa kwa sisi waungwana sana inaboa
Macho na hizo hips ndo nakufa kabisa

Kama kijana nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza.
Na mwisho wa siku akili yangu kwake kabisa ikagota.
Please don’t judge me (don’t judge)
 
Back
Top Bottom