Nikubali kuolewa?

Nikubali kuolewa?

Huyo shem wetu namshauri akuoea kabisa kabla hujaenda chuo, maana swaga za vyuoni utabadili mawazo mda sio mrefu na utamtosa mshkaji[/
sa nitaweza kumudu na masomo ya chuo

Ndio uamue moja kusoma au kuolewa, me nimekupa angalizo tu bado una umri mdogo na huko chuo utakutana na vishawishi kibao. Kama umelelewa kipemba jiandae kuanza kwenda club mama. Nilikwa na mwanamke wa kipemba nilimpata chuo alidata mpaka akaanza kunifata bar, mwisho wa siku mimi ndio nikawa na mkontroo asinywe pombe
 
hii nchi kuna vituko mpaka muda mwengine najisemea ningezaliwa ulaya kuna vitu ningemiss
ha ha ha ha ha ha
Thank u lord
 
Tiyari umeshazini na imeandikwa mzinifu atamwoa mzinifu mwenzie.Una bahati umepata mwenye nia ya kuoa,Kubali akuoe wapo wengi walioolewa na masomo yanapanda.Ukijifanya mjanja vijana chuoni watakuonja na kukuacha maana huko ni kula na kukimbia tu.
 
olewa bwana nn kusoma!!! kwanza kusoma kunapoteza tu mda bure na kujiachisha raha za ndoa.
 
kama unaolewa olewa kabisa kabla hujaenda huchelew badili mawazo bada ya kufika chuo ohooooo ...
 
kwa namna ninavyowaelewa nyie machotara, najua utaolewa hiyo shule ni zuga tu...
 
Jamanery naombeni
ushauri wenu, mi ni msichana mwenye umri wa miaka 20, naenda chuo mwaka
wa kwanza Mzumbe University,,, Nimepata mchumba toka nilipomaliza 4m4,
kutokana na vishawish vya rafik zangu, ila namshkuru Mungu nimeweza
kudumu na huyo mvulana mpka sasa naenda chuo,,, alikuwa akinifundisha
mapenz mdogomdgo mpka sasa nimezoea,,,, mimi ni Afkast wa kiarabu na
kipemba,,, mchumba wngu kanambia niende chuo nikasome mazingira mwakani
anioe,,,, me nimekubaliana na hilo kwasababu nampenda sana, na naogopa
dhambi ya kuzini kwasabu siwezi acha nishaionja asali,,,, ila namuogopa
mama yngu nahisi atokubali kwasababu mieh ni mtoto wa kwanza kwetu, na
upande wao ni waarabu wasomi,,, ila kwa upande wa babu yngu ruksa
kwasababu elimu yao ni simple na niwapemba waliobase kwenye biashara
wakawin,,,, alafu pia naogopa zile kauli za watu kwa mume husomi,,,,,,
sasa me nataka kuolewa niache kuzini mana nikirudi likizo nitaendelea
kuspend na mchumba angu,, alaf nahic hatoweza kuningojea mpka nimalize
chuo mana ana hamu ya kuoa nifanyeje,,

dah ujinga ni mzigo yaan unawaza ombo kuliko elimu? umesahau kuwa mme ni wako mkiwa kitandani kuanzia seburen etc ni wetu??
 
olewa tu ili ukifika chuo uanze kujiuliza kwanini ulikimbilia ndoa
 
Ndio uamue moja kusoma au kuolewa, me nimekupa angalizo tu bado una umri mdogo na huko chuo utakutana na vishawishi kibao. Kama umelelewa kipemba jiandae kuanza kwenda club mama. Nilikwa na mwanamke wa kipemba nilimpata chuo alidata mpaka akaanza kunifata bar, mwisho wa siku mimi ndio nikawa na mkontroo asinywe pombe

Doh bt me mpemba mzungu bhana, cjabanwa kihivyo nashkuru kwa hilo, sitodanganyika,,,
 
Tiyari umeshazini na imeandikwa mzinifu atamwoa mzinifu mwenzie.Una bahati umepata mwenye nia ya kuoa,Kubali akuoe wapo wengi walioolewa na masomo yanapanda.Ukijifanya mjanja vijana chuoni watakuonja na kukuacha maana huko ni kula na kukimbia tu.

tanx alot,,,, umenipa moyo kiasi chake,, nasikiliza moyo wangu unavyosema,,,,,
 
Hujajibu swali!

Kwani Bill Gates alifeli shule?

I studied everything but never topped......But today the toppers of the best universities are my employees......Bill Gates.....

:car:
 
Ndio uamue moja kusoma au kuolewa, me nimekupa angalizo tu bado una umri mdogo na huko chuo utakutana na vishawishi kibao. Kama umelelewa kipemba jiandae kuanza kwenda club mama. Nilikwa na mwanamke wa kipemba nilimpata chuo alidata mpaka akaanza kunifata bar, mwisho wa siku mimi ndio nikawa na mkontroo asinywe pombe

nikweli 20yrs ni Mdogo?acheni ujinga!wanaenda chuo wanaliwa na vidume eti wakiolewa atafeli!kama mbekubaliana uende ukaone mazingira then ndoa nadhani hii sahihi zaidi,acha uzinifu!
 
I studied everything but never topped......But today the toppers of the best universities are my employees......Bill Gates.....

:car:

Bado hujajibu swali.

Kwani Bill Gates alifeli shule?

Ngoja basi nikusaidie. Bill Gates ni mathematical wizard. Kwenye SAT ali-score 1590 kati ya 1600. That's almost a perfect score. Unajua SAT ni nini? Eniwei, jaribu ku google na utajua ni nini kama ulikuwa hujui.

Aka enroll Harvard. Baadaye akaja kuacha mwenyewe shule kwa ridhaa yake (dropped out). Sasa ku drop out si sawa na ku flunk out. Kuna tofauti kubwa sana hapo.

Hiyo quote (nasadiki ni quote) uliyoiweka hapo ni yeye kujaribu kuwa humble (mnyenyekevu) tu. Lakini mwisho wa siku Bill Gates ana akili za kutosha kabisa kuweza ku hang na the best and brightest wa Harvard, lakini kwake kuendelea na formal education ilikuwa ni kupoteza muda tu.

Kwa hiyo kusema kwamba Bill Gates alifeli shule ni makosa na ni kutokujua tofauti baina ya kufeli (kushindwa masomo) na kuacha shule kwa ridhaa yako mwenyewe ili kuendelea na shughuli zako.
 
:yo:.....
 
:yo:.....

Ushajua sasa tofauti ya kufeli shule na kuacha shule kwa ridhaa yako mwenyewe?

Bill Gates graduated from Lakeside in 1973. He scored 1590 out of 1600 on the college SAT test, a feat of intellectual achievement that for several years he boasted about when introducing himself to new people.

Gates enrolled at Harvard University in the fall, originally thinking of a career in law. But his freshman year saw him spend more of his time in the computer lab than in class. Gates did not really have a study regimen. Instead, he could get by on a few hours of sleep, cram for a test, and pass with a reasonable grade.

Source
 
Nikimuwaza kale kadogo kangu kalikozaliwa 1994 ambaye yupo chuo mwaka wa pili ,,,,hlf nikisoma ulichoandika salaleee roho inauma.
 
Back
Top Bottom