Nikubali kuolewa?

Nikubali kuolewa?

Olewa_tu_mama_kama_jamaa_yupo_tayari_kukutunza_na_umalizie_hiyo_shule_yako_kwani_sh_ngapi??Wewe_elewana_na_wazazi_kwamba_kuolewa_haitakuwa_mwisho_wa_shule_yako.

All_the_best!!!
 
Bhaaaasi........
 
Attachments

  • 1412238089007.jpg
    1412238089007.jpg
    40.7 KB · Views: 158
bado age sio nzur sana kwa kufany hivy just vut vut kwanza may b after 3 to 5 yrs
 
Jamanery naombeni ushauri wenu, mi ni msichana mwenye umri wa miaka 20, naenda chuo mwaka wa kwanza Mzumbe University,,, Nimepata mchumba toka nilipomaliza 4m4, kutokana na vishawish vya rafik zangu, ila namshkuru Mungu nimeweza kudumu na huyo mvulana mpka sasa naenda chuo,,, alikuwa akinifundisha mapenz mdogomdgo mpka sasa nimezoea,,,, mimi ni Afkast wa kiarabu na kipemba,,, mchumba wngu kanambia niende chuo nikasome mazingira mwakani anioe,,,, me nimekubaliana na hilo kwasababu nampenda sana, na naogopa dhambi ya kuzini kwasabu siwezi acha nishaionja asali,,,, ila namuogopa mama yngu nahisi atokubali kwasababu mieh ni mtoto wa kwanza kwetu, na upande wao ni waarabu wasomi,,, ila kwa upande wa babu yngu ruksa kwasababu elimu yao ni simple na niwapemba waliobase kwenye biashara wakawin,,,, alafu pia naogopa zile kauli za watu kwa mume husomi,,,,,, sasa me nataka kuolewa niache kuzini mana nikirudi likizo nitaendelea kuspend na mchumba angu,, alaf nahic hatoweza kuningojea mpka nimalize chuo mana ana hamu ya kuoa nifanyeje,,

and u need to be empowered???
while you are fooling yourself....
they said ""fall in love but remember to take your brain with you""
choice is yours........
 
mwarabu + mpemba.....aaaaaaaaaaaaaaaaaah saidiiiiii,mjini watu wanaroho mbaya
 
Jamanery naombeni ushauri wenu, mi ni msichana mwenye umri wa miaka 20, naenda chuo mwaka wa kwanza Mzumbe University,,, Nimepata mchumba toka nilipomaliza 4m4, kutokana na vishawish vya rafik zangu, ila namshkuru Mungu nimeweza kudumu na huyo mvulana mpka sasa naenda chuo,,, alikuwa akinifundisha mapenz mdogomdgo mpka sasa nimezoea,,,, mimi ni Afkast wa kiarabu na kipemba,,, mchumba wngu kanambia niende chuo nikasome mazingira mwakani anioe,,,, me nimekubaliana na hilo kwasababu nampenda sana, na naogopa dhambi ya kuzini kwasabu siwezi acha nishaionja asali,,,, ila namuogopa mama yngu nahisi atokubali kwasababu mieh ni mtoto wa kwanza kwetu, na upande wao ni waarabu wasomi,,, ila kwa upande wa babu yngu ruksa kwasababu elimu yao ni simple na niwapemba waliobase kwenye biashara wakawin,,,, alafu pia naogopa zile kauli za watu kwa mume husomi,,,,,, sasa me nataka kuolewa niache kuzini mana nikirudi likizo nitaendelea kuspend na mchumba angu,, alaf nahic hatoweza kuningojea mpka nimalize chuo mana ana hamu ya kuoa nifanyeje,,

Kasome kwanza miaka mitatu, minne si mingi! Lakini ukiwa huko ujichunge sana usije mkwaza mwenzio!
 
!

Mpemba V/S Mwarabu! Duuuuuuh si mchezo, na kapicha basi mama!!!!!!!!!!
 
Duh.makubwa haya..yaan miaka 20 ndo unajiona mkuuuubwaaaa mwenyewe unataka ukakalie jiti wewe uli uszn ufanye kihalali. SalaaLEEEE
 
sikia mdogo wangu, kwanza inaoyesha huyo kijana sio kwamba hataki usome ndo mana amekwambia nenda kwanza then mwaka wa pili ndo muoane, hiyo ni very possible mimi pia niliolewa nikiwa nasome chuo na nimemaliza vzr tu na mume wangu alikuwa very supportive na tulikubaliana tusitafute kwanza mtoto mpaka nimalize kusoma na imekuwa hivyo, kwahiyo kama unataka kuolewa we olewa ila wewe mwenywe kwanza weka msimamo kwamba shule ni lazma umalize na make sure na yeye anaelewa hivyo na hata kubadilikia, ila kama utaweza kuvumiliza na yeye kama ataweza kukusubiri mpaka umalize ukizingatia umri wako bado mdogo itakuwa vzr zaidi
 
Nenda shule kwanza binti, kusoma uzeeni ni shida, nadhani waliopumzika/kuacha shule kwa muda mrefu kisha wakarudi masomoni wata elezea zaidi
 
We nenda kwanza huko Mzumbe...!
Baada ya mwaka wa kwanza tupe mrejesho..
Asali umeionja, nna wasiwasi huko Mzumbe utaila kabisa..!
 
Jamani naombeni ushauri wenu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20, naenda chuo mwaka wa kwanza Mzumbe University.

Nimepata mchumba toka nilipomaliza form four, kutokana na vishawishi vya rafiki zangu, ila namshukuru Mungu nimeweza kudumu na huyo mvulana mpaka sasa naenda chuo.

Alikuwa akinifundisha mapenzi mdogomdogo mpaka sasa nimezoea, mimi ni halfcast wa kiarabu na kipemba, mchumba wangu kaniambia niende chuo nikasome mazingira mwakani anioe, me nimekubaliana na hilo kwasababu nampenda sana na naogopa dhambi ya kuzini kwasababu siwezi acha nishaionja asali.

Ila namuogopa mama yangu nahisi hatokubali kwa sababu mimi ni mtoto wa kwanza kwetu, na upande wao ni waarabu wasomi ila kwa upande wa babu yangu ruksa kwa sababu elimu yao ni simple na niwapemba waliobase kwenye biashara wakawin halafu pia naogopa zile kauli za watu kwa mume husomi.

Sasa me nataka kuolewa niache kuzini mana nikirudi likizo nitaendelea kuspend na mchumba wangu, halafu nahisi hatoweza kuningojea mpaka nimalize chuo mana ana hamu ya kuoa nifanyeje?

I will hit your inbox for ideal advice. :A S wink:
 
Watoto wa shule mnatusmbua tu. Acha chuo kabisa uolewe ndo maisha yatakuwa mazuri
 
Oleewa chuoo kipo kuolewa kutamu usiombeeee hasa ukute men anakupenda kweli penzi la kweli penzi huwa halifi akili ya kuandikiwa changanya na yako
 
With such mentality..woman empowerment is absurd...at 20 unalilia kuolewa..ngoja nisubir watu waje na ushauri..ila ungekua karibu yangu ningekupa nakoz...stupid

Alilie wakatika yupo 35? kuna umri ambao wachumba wanajitokeza kwa wingi na kuna umri wanakata kabisa alafu tunaombaga ushauri
 
Bado mdg soma kwanza, 20? Una hamu ya kuolewa?
 
Back
Top Bottom