Nikubali kuolewa?

Nikubali kuolewa?

Umenogewa na Msoloboko wewe hakuna lolote,
Kidato cha sita kisha hujui kipi muhimu kati ya elimu na ndoa kulinganisha na umri wako?.

Jibu lipo kwenye Chu.. na akili yako viunganishe hivyo utajua nini cha kufanya.
 
Alilie wakatika yupo 35? kuna umri ambao wachumba wanajitokeza kwa wingi na kuna umri wanakata kabisa alafu tunaombaga ushauri

20 bado ndo kwanza kamaliza foolish age.ajielewe Kwanza atleast 23...apo sawa
 
Acha shule haina maana ni mbinu za watu weupe kutukosesha mambo mazuri kwa haraka..sasa wewe olewa tu achana na mambo ya shule,kwani unasoma ili uje uwe nani si mke wa mtu au?

Buhahahaaaaa looo hakika......
 
Jamani naombeni ushauri wenu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20, naenda chuo mwaka wa kwanza Mzumbe University.

Nimepata mchumba toka nilipomaliza form four, kutokana na vishawishi vya rafiki zangu, ila namshukuru Mungu nimeweza kudumu na huyo mvulana mpaka sasa naenda chuo.

Alikuwa akinifundisha mapenzi mdogomdogo mpaka sasa nimezoea, mimi ni halfcast wa kiarabu na kipemba, mchumba wangu kaniambia niende chuo nikasome mazingira mwakani anioe, me nimekubaliana na hilo kwasababu nampenda sana na naogopa dhambi ya kuzini kwasababu siwezi acha nishaionja asali.

Ila namuogopa mama yangu nahisi hatokubali kwa sababu mimi ni mtoto wa kwanza kwetu, na upande wao ni waarabu wasomi ila kwa upande wa babu yangu ruksa kwa sababu elimu yao ni simple na niwapemba waliobase kwenye biashara wakawin halafu pia naogopa zile kauli za watu kwa mume husomi.

Sasa me nataka kuolewa niache kuzini mana nikirudi likizo nitaendelea kuspend na mchumba wangu, halafu nahisi hatoweza kuningojea mpaka nimalize chuo mana ana hamu ya kuoa nifanyeje?

Tehetehetehe........! Naona ulishaonja asali unataka kuchinga mzinga



quote_icon.png
By Prettinho

jamanery naomba mnisaidie ma boyfrnd anaomba anipapase nyuma eti haingz, anapenda kuniambia nikiwa kwenye cku zangu, hv huyu anamaanisha nn, nilimkublia cku moja akasema lazma apate hewa ya ndani ndo amwage, me nkakataa, alikacrika na kunifukuza, niachane nae,,
 
Nenda kwanza Mzumbe... huko utatia akili... maana mawazo yako ya kitotoooooo
 
Back
Top Bottom