Nikopesheni 7000\=

Mkuu ni kweli unayosema lakini mimi sio mpigaji ndo mana nimekua muwazi.

Nashkuru mungu mkuu Shunie amenisaidia na kesho naenda kuanza biashara
Tatizo ID Mpya,Ungekuja na ya zamani mbona ungepata hela ya kufanya biashara ya msingi hata wa zaidi ya laki 2.
 
mkuu nenda kahama kufanya kazi kwnye mshahara elfu 80 kwa mwezi
 
Afu unaeza kuta ni memba maarufu tu humu kaamua kufungua ID mpya. Maisha yashamgonga hukoo
Hapana mkuu sijawahi kua member ila nilikua mfuatiliaji sana nlishindwa kujiunga kwa sababu nilikua natumia simu ya batani yenye opera mini hivyo nilikua nashindwa kujaza sehemu ya email
 
Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
Watu kama hawa, hasa kwa hela ndogo kama hii, unampa tu tena kwa roho njema bila manung'uniko. Tena unaiombea kabisa hiyo hela na kuibariki. Kama anakutapeli basi hiyo ni juu yake na Mungu wake. Ndiyo kanuni yangu hata ninapotokea kutoa sadaka kanisani. Mchungaji akiichukua sadaka hiyo na kwenda kununulia Hummer badala ya kuitumia kwa kazi ya Mungu basi hiyo ni juu yake na Mungu wake lakini mimi kazi yangu ninakuwa nimeshaimaliza. Vinginevyo hutaweza kusaidia mtu au kutoa msaada wo wote hasa siku hizi.
 
Tatizo ID Mpya,Ungekuja na ya zamani mbona ungepata hela ya kufanya biashara ya msingi hata wa zaidi ya laki 2.
Kwa kweli mkuu nilikua natumia simu ya tecno ya batani ila ina opera mini hivyo nilikua mfuatiliaji tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…