Nikopesheni 7000\=

Wizii mtupuuuuuuu, tena na tenaaaa mkome kabisa kuifanya JF kuwa kijiwe cha kupigia deal mbuzi, binafsi ningekuelewa kuelewa kama ungesimamia kwenye kutafuta memba atakaye kuwezesha kupata ‘piece work’ ya buku 7 ili ujikimu
Kaishasema yeye ni plisner.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zako mfyuuuu
Sema Barbarosa kuna siku amekomaa na mada ya mitetemo kuoshwa na Maji au tishu akataka wadada watumie Tishu nimekosa hamu tena na mitetemo nadhani amefanikiwa kukushawishi.
 
Tatizo mtu unaweza ukawa na moyo wa kumsaidia mtu kiroho safi kabisa halafu kumbe mwenzio sio kwamba ana shida kweli bali ni MPIGAJI,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…