Nikopeshe milioni nne nikulipe milioni tano kwa miaka miwili

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
nina wazo zuri la kibiashara nahitaji kuongezea mtaji nilio nao.. nipe mil 4 nitakurudishia mil 5 kwa miez 24! AU
tushirikiane kibiashara....
<allanclement6@gmail.com>
 
Mkuu kwa mtazamo wangu kushirikiana kibiashara unaweza kupata watu lakini kwa mfumo wa kimkopo unaoutaka sidhani kama utaweza kupata kwa hapa JF.Cha kukushauri nenda benki au taasisi yoyote ya kifedha kama Microfinance labda wataweza kukusaidia kwa uraisi.

Ni ushauri tu mkuu!
 
Ahahahahaa hio proposal yakooo ahahahaaha sjuiii kama utampata mshamba umu ndan ahahahaha yan riba ya 1 m baaada ya miaka miwiliii duh ioo pesaaa si boraaa umwachie mwenziooo akatengenezee furniture home kulkokumtapel anajiona maana utakapomrudishiaa purchasing power itakua ndogooo
 
Mkuu kwa mtazamo wangu kushirikiana kibiashara unaweza kupata watu lakini kwa mfumo wa kimkopo unaoutaka sidhani kama utaweza kupata kwa hapa JF.Cha kukushauri nenda benki au taasisi yoyote ya kifedha kama Microfinance labda wataweza kukusaidia kwa uraisi.

Ni ushauri tu mkuu!

asante
 
Mwenye millioni nne zisizo na kazi ujuwe ana uwezo wa kuzalisha zaidi ya hivyo utakavyo mlipa wewe.

Hapo utapiga chini, badili tangazo, tangaza bishara yako tafuta partners wakuingia na wewe kwenye biashara hiyo, kuwa muwazi.

Kidole kimoja hakivunji chawa.
 
Mimi ninazo lakini sharti ni kuwa lazima uwe na collateral nyumba, Kiwanja, Gari...na tu sign katiba ukiwa na akili yako timamu mbele ya mwanasheria
 
Mwenye millioni nne zisizo na kazi ujuwe ana uwezo wa kuzalisha zaidi ya hivyo utakavyo mlipa wewe.

Hapo utapiga chini, badili tangazo, tangaza bishara yako tafuta partners wakuingia na wewe kwenye biashara hiyo, kuwa muwazi.

Kidole kimoja hakivunji chawa.
Hili ndio wazo la maana,hata Bank hakuna atakekupa pesa hizo kwa miaka miwili.
Tafuta partner,yaani wewe weka tangazo na uelezee jinsi biashara yako unavyoifanya kisha uweze kuvutia wadau waone kama mtu anaweza kuingiza mtaji na ukawa salama,maana hapo ni masuala ya kwenda kwa mwanasheria kama wana hisa
 
aweke hilo wazo lake...
Kama linalipa niingie ubia....
 
ahsanteni kwa mawazo yenu.. nimepata watu wa aina tatu.
1.Wanataka kuchukua mawazo tu then wanasepa.
2.Wapo wanaotaka ubia lakini wanalenga biashara zao walizoplan tayar so ukimpa wazo jipya anadai hayuko interested.
3.wako matapeli wanataka kuiba hata kidogo nilicho nacho (Mungu awalaani)

N.b. nitakomaa nijuavyo one day nitatoa ushuhuda humu...
 
Back
Top Bottom