Nikomae nitafute mkwanja au niamue kumridhisha yeye?

Kwahiyo unataka kuacha kazi kisa mke wako!!! Be serious tafuta maisha yako na kama anaona upo busy sana anaweza akaondoka......make sure unatafuta hela kwaajili ya maisha yako na wazazi wako waliokusomesha kwa shida......wafikirie wazazi wako wanaokutegemea leo hii ukija kuacha kazi nani atawasaidia!!!! Acha kuendekeza mapenzi badala ya kutafuta hela
sio kuacha, I was thinking may be I should not be as serious as I am now. labda nianze kurudi muda wa kazi ukiisha saa kumi na moja and to hell with the "target"
 
wanawake wanahitaji sana mapenzi huenda hata kuliko kazi kwa hiyo jitahidi saana kuwa karibu nae hata kwa kumpigia cm, sms, na ukiwa nae karibu hakikisha unaonyesha upendo ambao ameumic kwa kutwa nzima.

kumbuka anaweza kukuacha kama hali ya kuwa mpweke mpweke itazid yaana anaweza kutafta mwanaume ambaye hayuko bz ili apate tu MAHABA.

JITAHIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu, will work on this as well. But nadhani mkwanja ndio kila kitu au sio?
 
these people hawaangalii sana mkwanja wakati mwingine tena kibaya nae anao, hapo ndo hatar zaid, anaweza kukuacha halafu akamtafta jobless ili amu treat kama anavyo taka huyo bibieeee

maandiko matakatifu yanasema enyi waume ishini na wake zenu kwa akili sana

CHUKUA HIYO MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kuacha, I was thinking may be I should not be as serious as I am now. labda nianze kurudi muda wa kazi ukiisha saa kumi na moja and to hell with the "target"
Acha kumfurahisha mtu tengeneza pesa zako kama akiwa analalamika acha aendelee kulalamika.......huyo mke wako hawazi maendeleo anachojua labda unamcheat
 
these people hawaangalii sana mkwanja wakati mwingine tena kibaya nae anao, hapo ndo hatar zaid, anaweza kukuacha halafu akamtafta jobless ili amu treat kama anavyo taka huyo bibieeee

maandiko matakatifu yanasema enyi waume ishini na wake zenu kwa akili sana

CHUKUA HIYO MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
In a way, this is true, may be I have to balance but maisha yamenifundisha kuwa pesa ndio kila kitu mkuu. utata
 
Acha kumfurahisha mtu tengeneza pesa zako kama akiwa analalamika acha aendelee kulalamika.......huyo mke wako hawazi maendeleo anachojua labda unamcheat
Honestly anajitahidi, nakumbuka skukuu flani hivi nlikwenda Tanga nkamuachia laki mbili za Eid kwenye akaunti kurudi nazikuta vile vile ananiambia kaona bora tukaongezee matofali.
 
wanawake hatupendi kuwa wapweke!... nakuamsha tu !...shukuru kakuambia either kaanza kucheat au anafikiria kutoka nje !amini hili ! mrudishe kwenye line kbl hajawa 'SUGU' mtoe out za kutosha tatz mnajifanya m[po busy na kuzitafta hela !jion ukirud hoi kila siku ,,,pyeeeeee
 
Unachokifanya ni kutafuta pesa na kutapanya upendo. Unakosea eroo, utakuja ona hzo pesa hzna umuhm kama umpendae atakua mshaachana.
Panga ratiba yako vzur.
 
Tafuta mkwanja then mtoe out mkapumzike wkend moja kama siku mbili tatu hivi ukiwa uko mueleze utamu wa kutafuta pesa na kutoka out ndo faida ya wewe kupigika so asione huna mda naye

Sent using Jamii Forums mobile app
I tried this, we were out of the country last April na akaappreciate na nikaona kama kaelewa vile why i have to suffer. but now ameanza kelele zake
 
wanawake hatupendi kuwa wapweke!... nakuamsha tu !...shukuru kakuambia either kaanza kucheat au anafikiria kutoka nje !amini hili ! mrudishe kwenye line kbl hajawa 'SUGU' mtoe out za kutosha tatz mnajifanya m[po busy na kuzitafta hela !jion ukirud hoi kila siku ,,,pyeeeeee
Sio hivyo mkuu, najitahidi sana my friend...
leo hii jioni nimemwambia tuelekee sehemu flani hivi kuna cappuccino poa kaniambia ooohh me nimechoka job wagonjwa walikuwa wengi sjui blaa blaa gani
 
Unachokifanya ni kutafuta pesa na kutapanya upendo. Unakosea eroo, utakuja ona hzo pesa hzna umuhm kama umpendae atakua mshaachana.
Panga ratiba yako vzur.
Kama atakuwa na akili mbaya kiasi hicho tanihuzunisha sana. lakini ntapiga moyo konde nianze kumwaga mpunga wote kwa bi mother, then me ntakomaa na watoto wa mjini sana. chape kwa kwenda mbele
 
Sio hivyo mkuu, najitahidi sana my friend...
leo hii jioni nimemwambia tuelekee sehemu flani hivi kuna cappuccino poa kaniambia ooohh me nimechoka job wagonjwa walikuwa wengi sjui blaa blaa gani

huhis km kuna dalili za manyoya ? ila nikupe techniques ya sie wanwake ukiona mke analalamika huyo bado hajaamua kutoka ukiona yale malalamiko hayapo tena ......
 
Kama atakuwa na akili mbaya kiasi hicho tanihuzunisha sana. lakini ntapiga moyo konde nianze kumwaga mpunga wote kwa bi mother, then me ntakomaa na watoto wa mjini sana. chape kwa kwenda mbele

duh aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom