Nikola Tesla: alitaka kutengeneza umeme wa kutumika dunia nzima bila kutumia wire,inawezekana vp?

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,797
28,460
Nikola Tesla is an under-rated and forgotten genius. Einstein was amazingly intelligent but he was assisted by his very intelligent wife and and an assistant. Nikola Tesla was a complete lone wolf. He had a great memory, amazing visualization, and was years ahead of his time. He invented the modern world as we know it with an amazing 700 patents. He was an amazingly open-minded mind. He in my opinion is the greatest genius ever. He probably could have single handily destroyed the world. Amazing man!M+883

The man ahead of time. One of the most intelligent person in History of human kind.M+556

Without his work on AC electicity, life as we know it today would not be possible.M+503

He filed more than 700 patents and truly discovered science.
He invented the radio (not Marconi), the x-ray (not Rontgen), the radar (not Watson), transistor, earthquake machine, the remote control, neon lighting, electric motor, wireless communications and other.
He spoke eight languages (Serbian, English, Czech, German, French, Hungarian, Italian and Latin).
He could memorize entire books and recite them at will.
He could visualize devices entirely in his head and then build them without ever writing anything down.
Oh right, that was something Tesla invented but didn't share it with the world probably because he was afraid of uninspired jackasses stealing his patents.

He created things man couldn't dream of, he was deemed crazy but in hundreds if years to come he will gain his recognition, people are already using some of his ideas, he was also a man for the people, he didn't care about profit, he only cared about the development and the movement forward for man kind. He wanted to make electricity free by use of the tesla coil without using any wires, even now that seems futuristic. If only the people that hunger for money allowed him to grow, the world as we know it would be improved ten fold. Smartest man in history! No doubt!
kwa kweli nimesoma historia za ma genius wengi waliowahi kupita ktk dunia hii lakini huyu jamaa ni hatari
 
Nikola Tesla: alitaka kutengeneza umeme wa kutumika dunia nzima bila kutumia wiress,inawezekana vp?
 
mkuu si utengeneze huo umeme sasa?
maana ushamaliza kuelezea theory,
come to practical
i think it can be done,wireless power transfer lakini nadhani wapo watu wanaumiza kichwa how it can be done in larger scale,what you need is a power source,then a way to turn that power into electro magnetic wave which can be transmitted towards a recerver or some kind of antenna which will be able to turn it back into electro current
 
Labda angebadili electro magnetic wave kuwa electric current ambapo mtumiaji unakuwa na receiver ambayo inayapokea mawimbi na kuyabadilia kuwa electric current wirelessly
Mkuu kama ndivyo mbona toka jama afariki ni miaka karibu 70 imepita na tumeona innovation nyingi zikifanyika na zingine zikiendelezwa kutokana na ideas zeke why hicho kisifanyike huku ndicho kitakuwa na manufaa kwa watu wote duniani kama yeye mwenyewe alivyokuwa ana ndoto za kuwapa ulimwengu mzima umeme wa bure
 
i think it can be done,wireless power transfer lakini nadhani wapo watu wanaumiza kichwa how it can be done in larger scale,what you need is a power source,then a way to turn that power into electro magnetic wave which can be transmitted towards a recerver or some kind of antenna which will be able to turn it back into electro current
kwa maelezo haya naona kama ni kitu rahisi au kwa sababu sijui sayansi! au ugumu wa kazi
 
J.P. Morgan had invested thousands into Tesla's Wardenclyffe Tower on the basis that it was a radio tower to be used to send messages across the Atlantic. Well Marconi sent the first radio message and J.P Morgan sent a letter to Tesla saying that he would no longer fund the tower. Tesla then told Morgan what the tower was to really be used for, wireless transmission of power. J.P. Morgan seen this as a faulty plan because there was no way to profit off of wireless power. Which resulted in him no longer funding it and the destruction of the tower some years later.

I believe with Morgan no longer funding it and Tesla slipping into somewhat of a depression because no one believed his ideas set the stage for the failure of his shared energy inventions. Especially since Marconi was awarded the nobel prize for his use of wireless, even though it was Tesla who created the system to utilize wireless frequency.

But we will never know the identity of everyone who was probably involved in silencing Tesla. All because of one thing, greed. The want for money and power resulted in starving generations from Tesla's brilliance and world changing inventions.
 
Tesla%E2%80%99s-Murder.jpg
 
Hii kitu ni Ngumu sana Kwa voltage kubwa Yani Izo Electromagnetic waves zina Umeme kiwango kidogo sana ni ngumu Kuzi capture na Kuzitumia kama Power hizo ni kwa data transmission napo bado tunahitaji transistor ku amplify signal zinazokuwa received na Antena, Tesla aliweza hili labda kupitia Tesla coil ambayo ni high voltage n frequency coil ila inapofanya induction ni Lazima i ionize anga vuta Picha 132kv inakatiza kwenye hewa Tutaunguza kila kitu, Yani Transmission tu kwa cables High volts bado ni Changamoto kweli, Ule mnara wa Wardencylfe ulikuwa ni kwa ajili ya Radio
 
Umeshashindwa tayari, umiza kichwa zaidi ya huyo mtaalamu.
 
Umeshashindwa tayari, umiza kichwa zaidi ya huyo mtaalamu.
Sijasema haiwezekani Boss, Na Practical tayari kuna Charge za Wireless ni Ngumu Kwa High voltage Kufanya ivo ni Lazima Tufikiri kwa kuendana na Technology iliyopo sasa ndio Ugunduzi au improvement zinafata
 
Back
Top Bottom