Niko Sinza nachunwa

Kaka mpaka sasa hujaja kumbe umetulia na kamchepu...
Shem hapa kanuna imebidi ahamie chumbani kwangu...
Nazima data tukimaliza nawasha....
 
Sina hakika kama mleta uzi atakua amekuelewa hapo kwenye umaliziaji kwa lugha ya bepari..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu siku hizi watoto wa Dar wamesahau kiswahili wanaongea Kiswanglish. Unasikia "jamaa amazing flan hivi".
 
Jomba kwa mara ya kwanza unakula period yk la muhimu uvae ndomu tu
 
Kumbe ndo wewe nliyekuona umekaa meza moja na yule mdada aliyesuka rasta hivi..!
Mi nlikaa meza ya za huku kulia kwenu niko na mke wa askari polisi mmoja hivi mmewe yuko nite shift tunakula castle lite na kitimoto baada ya hapo tunaenda "Matombo" [emoji12] [emoji102]
 
Mwambie mshikaji wako akupigie sim feki usepe
 
Inaonekana hajakupenda maana mwanamke akipenda period siyo inshu hiyo ni kusuuzwa tu bafuni faster mchezo unafanyika bila shida pengine mwenzetu nawe ni domo zege hujui kujenga hoja.
 
Akimaliza kukuchuna anaanza kukukatakata vipande vipande sepaaa mwachie bill
 
Sasa tukusaidieje wakat umetaka mwnyw
 
Umevaa shati la njano, mwenzio kakuonyesha rangi nyekundu bado hujui ni utani wa jadi hapo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…