Niko Sinza nachunwa

Uzuri sinza ina chocho nyingi, sepa mkuu mwachie bill. Atajiongeza akidaiwa, atapiga short time mbili alipe bill na nauli ya kurudi kwao.
 
 
Hilo shati lako la njano itakuwa limemkata stimu!
 
raha ya buzi ulipate na ulichune.... Pole kwa kuchunwa
 
Ndio maisha ya sasa hamna namna. Endeleeni kufurahia!
 
 
nimetoka hapo muda si mrefu mkuu, nimekuona na shati lako, unatia huruma mwenyewe, pole sana ila ndio uone kuwa hakina haja ya kuchepuka, ungekaa tu na wife hiyo hela mngefanyia jambo LA maana, pole sana
 
Mkuu si ulikwenda mwenyewe kwa hiari yako? Pambana na yanayokukuta na sikuzote wanasema "experience is the best teacher".
Sina hakika kama mleta uzi atakua amekuelewa hapo kwenye umaliziaji kwa lugha ya bepari..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…