H abari wapendwa,si mgeni sana humu ila huwa nasoma zaidi kuliko kuchangia mada mbalimbali za jf na naridhika na michango ya wachangiaji karibia wote wa forum hii.Leo nna tatizo langu si kubwa wala dogo kivile,mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka 14 sasa na nna ndoa ya kanisani usitishike na jina tafadhali,tuliishi kwa maelewano sana na mme wangu japo kulikuwa na vimatatizo vya hapa na pale ila tulivimaliza na maisha yaliendelea kama kawaida,tatizo lilianza pale ambapo mwenzangu aliposhindwa kuelewa familia ni nini na inahitaji nini,mume wangu hana muda na familia wala kiajana wetu,anachojua nikutoa pesa tu,nimejitahidi kuongea nae sana juu ya hili kwa muda mrefu sana mwisho nami nimechoka nikajikuta natengeneza chuki za ajabu dhidi yake mpaka heshima yangu kwake imekwisha kabisa,hata nikijaribu kumuheshimu najikuta siwezi sio kwa kuwa najifanyisha imetokea tu mpaka chumba nimehama nadhani huu ni mwaka wa nne sasa,tunaishi kwa ajioli ya mtoto tu si yeye wala mimi aliewahi kumueleza mtu yoyote juu ya hili watu wakituona kwa nje wanaona ni mke na mume kumbe ndani hamna kitu,sina wivu nae hata kidogo,tunasalimia kama watu tusojuana na hata kama tuko pamoja kama kuna jambo tunatumia message kuelezana ila kuongea naona kichefuchefu maana akijaribu kuongea nnaona kama ananipotezea muda sielewi nini kimenikuta naomba msaada wenu jamani....wale waropokaji naona si mahala pake hapa huwezi changia soma kimyakimya.
hapana sijamaanisha ulichosema ila nimejaribu kukufanulia kuwa si mzee kiasi cha mimi kumuona kichefuchefu ila ni matendo yake ya kuudhi na kukera
mhh mpendwa hakuna mahali nimesema kuwa akiwa na kiu anajua mahali pa kunipata...nazungumzia tatizo la yeye kutojua nini maana ya familiaAna kukera nini tuweke wazi tukusaidie sisi tulivyo kuelewa ndo hivyo kutokana na maelezo yako.
Mbona matumizi anakupa umekubali na vile vile akiwa na kiu anajua jinsi ya kukupata sasa kero ipi tena?
nashukuru mpendwa,tutafanya hivyoMi naona Salma kwakuwa mlifunga ndoa kanisani ni vyema ukawashirikisha viongozi wa kiroho katika hili suala lako aisee kwasababu kulingana na maelezo yako inaonekana wazi wewe na mumeo wote hampendi ndugu zenu wajue shida inayondelea katika familia yenu.Nakwakuwa we mwenyewe umekiri kwamba bado mko pamoja sababu ya mtoto chukua hatua ya kuwashirikisha viongozi wa dini haraka kabla huyo kijana wenu hajaanza kuwauliza maswali yasiyojibika.
H abari wapendwa,si mgeni sana humu ila huwa nasoma zaidi kuliko kuchangia mada mbalimbali za jf na naridhika na michango ya wachangiaji karibia wote wa forum hii.Leo nna tatizo langu si kubwa wala dogo kivile,mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka 14 sasa na nna ndoa ya kanisani usitishike na jina tafadhali,tuliishi kwa maelewano sana na mme wangu japo kulikuwa na vimatatizo vya hapa na pale ila tulivimaliza na maisha yaliendelea kama kawaida,tatizo lilianza pale ambapo mwenzangu aliposhindwa kuelewa familia ni nini na inahitaji nini,mume wangu hana muda na familia wala kiajana wetu,anachojua nikutoa pesa tu,nimejitahidi kuongea nae sana juu ya hili kwa muda mrefu sana mwisho nami nimechoka nikajikuta natengeneza chuki za ajabu dhidi yake mpaka heshima yangu kwake imekwisha kabisa,hata nikijaribu kumuheshimu najikuta siwezi sio kwa kuwa najifanyisha imetokea tu mpaka chumba nimehama nadhani huu ni mwaka wa nne sasa,tunaishi kwa ajioli ya mtoto tu si yeye wala mimi aliewahi kumueleza mtu yoyote juu ya hili watu wakituona kwa nje wanaona ni mke na mume kumbe ndani hamna kitu,sina wivu nae hata kidogo,tunasalimia kama watu tusojuana na hata kama tuko pamoja kama kuna jambo tunatumia message kuelezana ila kuongea naona kichefuchefu maana akijaribu kuongea nnaona kama ananipotezea muda sielewi nini kimenikuta naomba msaada wenu jamani....wale waropokaji naona si mahala pake hapa huwezi changia soma kimyakimya.
unanihukumu mpendwa kwa kusema nna kiburi...kuhusu mchungaji kiukweli mpaka sasa nilikuwa najidanganya kuwa atabadilika leo,kesho masiku yanakata ila nnalazimika kulifasnyia kazi hilo kwa sasa,umeniacha kidogo hapo mwisho kwenye msamiati1.Nahisi hiyo red ya mwisho ndo inafanya mme wako anakuwa jinsi alivo,una kiburi sana
2.inasikitisha kwamba umefunga ndoa kanisani,limetokea tatizo kama hili hujui kwamba unapaswa kwend kumuona mchungaji,padri etc kusolve tatizo lenu
3.namba 2 hapo juu,utawezaje kwenda kumuona mchungaji wakati mwenyewe una kiburi? nadhani hata kanisani huendi una jihubiria mwenyewe chumbani
Pole sana,lakini naona una lazimisha kuingia ndani kila siku kwa kupitia dirishani na kuna mlango.
kama ulivosema,uko na mmeo sababu ya mtoto tu,nahisi yeye mwenyewe anatamani saivi ndo angekua ana chumbia
unanihukumu mpendwa kwa kusema nna kiburi...kuhusu mchungaji kiukweli mpaka sasa nilikuwa najidanganya kuwa atabadilika leo,kesho masiku yanakata ila nnalazimika kulifasnyia kazi hilo kwa sasa,umeniacha kidogo hapo mwisho kwenye msamiati

4years unajiandaa kwenda kwa mpatanishi wa kiroho?
Hapo kuna jambo, dada anataka kuvunja ndoa, kafanya vituko aachwe hajaachwa. Sasa anatafuta sababu ya kuacha.
Huyu mama/dada anataka kubomoa na hapa anatafuta symphathy. Tatizo hapa ni yeye mwenyewe, asuke au anyoe at herr own risk.
JF tunatoa ushauri wa kujenga na si kubomoa; na ushauri huo unatolewa kuendana na tatizo lenyewe, tunasema ukweli unaostahiki. Ila kwako mleta mada tatizo ni wewe narudia tena, unachofanya si sahihi.
shosti acha kuchezea akili za watu, halafu vile Mungu si Athumani umejiumbua mwenyewe. Pamoja na kufuta post, foot print hizo.
$£&&*%$"*&%$
Hapa umenena kabisa
pole sana dada yangu..upo sawa kabisa na kama ni kichefuchefu ni sawa kabisa potelea mbali, hili tatizo ni mwanaume ndio kanzaisha lazima tukubali. lakini shetani pia amechukua mkondo wake hapo
mahali pa kukimbilia ni wazazi wake na kanisani tu ndio naona unaweza ukapata msaada wa kweli maana miaka minne si masihara! jaribu kuongea vizuri na wazazi wake ili wampe ushauri wa kina na kumuuliza msimamo wake, kama hiyo haitoshi mwende kanisani mchungaji au padre atawashauri tena hapa ni semina inatakiwa na kama si mcha Mungu nenda kaongee na mchungaji/padre aje hapo nyumbani amkute hapohapo linaanza somo.
la mwisho ni kupima, dada yangu najua unampenda ila mkapime kabla ya ku-renew mechi! zaidi ya hapo jaribu kuangalia utaratibu mwingine asikubabaishe mtoto wa watu siku hizi migonjwa kibao atakupa stress kila kukicha
pole sana, Mungu atakusaidaia