Niko njiapanda Sijielewi Jamani

Niko njiapanda Sijielewi Jamani

Ni kweli, kusahau huwa ni issue lakini, ngoja nikuulize swali la kizushi..... Ulishawahi kufiwa na mtu wako wa karibu, e.g. Baba, Mama, Dada, Kaka, au mtu mwingine yeyote yule aliyekuwa muhimu sana ktk maisha yako? Kwa kawaida watu huwa tunalia sana, tunaomboleza kwa kipindi kirefu na hata wakati mwingine tunaathiri hata mfumo wetu wa kawaida wa maisha, e.g. kazi, etc. Lakini, as time goes, slowly huwa tunasahau. Sasa kama watu wanaweza kusahau machungu ya vifo vya wapendwa wao, sembuse kumsahau Leah, tena ambaye hajawahi kukufanyia kitu chochote muhimu ktk maisha yako zaidi ya kukuumiza kwa kukutosa? My friend, two things to note, 1. To forgive is Divine, to forget is Human
2. Love can be learnt, so no need to fear. You need not to wait until you lose. It will be like
cooking an empty pot expecting to get a nice soup!
jua alivyokuwa muhimu kwako. Wanaume hatuhitaji sana kupenda, cha msingi ukipendwa ndio salama ya ndoa yako.

Mkuu Double M;

Nimeshawahi kufiwa,naelewa maumivu hayo.Labda hapo ishu imekuwa time to forget,inawezekana mda bado ni mfupi sana.Ila kimsingi your post is very useful.Asante sana.SALAMA YA NDOA KWA MWANAUME NI KUPENDWA,SIO?
 
Kaka siku nyingine ukome na hiyo staili yako ya mpaka muowane ndo mfanye.Ndo hasa kinachokuuma hapa wala sio mapenzi ya kihivyo.Cha kufanya wewe mpotezee tu endelea uliyekuwa nae sasa hivi.Au kama unaweza endelea ku mwinda ukimpata una mtupia nyavu halafu unatulia kwa huyu wa sasa.
 
I think so na naweza kukuona wa ajabu kidogo
Mkuu kwa mwanaume kama likikutokea la kuachwa maisha sio mwisho baada ya kuachwa ila ndio mwanzo wa safari ndefu ya kujifikiria na kujisahihisha
Maana sometime tunashukuru Mungu kwamba may be Mungu kakuepusha na mengi kwa kumpenda mtu ambaye hata huko mbeleni kusingekuwa na future
Hapo unamuomba Mungu wako akusahaulishe hayo na kuanza maisha mengine mapya na kusonga mbele
Huwazi lililokjwishapita ila yale yanayokuja

Cha msingi kumwomba Mungu anisahaulishe ila hata hii thread imekuwa msaada mkubwa kwangu
 
Kaka siku nyingine ukome na hiyo staili yako ya mpaka muowane ndo mfanye.Ndo hasa kinachokuuma hapa wala sio mapenzi ya kihivyo.Cha kufanya wewe mpotezee tu endelea uliyekuwa nae sasa hivi.Au kama unaweza endelea ku mwinda ukimpata una mtupia nyavu halafu unatulia kwa huyu wa sasa.

Mkuu Wingu,
I was trying to be real.Kumbe wanawake hawapendi ukiwa hivyo
 
Asante sana mkuu
halafu huyu jamaa anacheza na ushauri wetu
Yaani tumekaa hapa tunamuandikia maushauri ya nguvu yeye anazunguka tuu kama pia
Ahhh

Ha ha ah,
Nimekusoma Mr Rocky,tena sana
 
Kaka usijali tuendelee tu kumshauri huyu ni mwanaume mwenzetu, ingawa watu wanaliponda jukwaa letu la MMU, tutakomaa nao hivyo hivyo,

Siku naenda Mwarujo nilikomaaje hapo Hungumalwa mpaka walipokuja wenyeji wangu kunichukua hamu imeniisha.
 
Cha msingi kumwomba Mungu anisahaulishe ila hata hii thread imekuwa msaada mkubwa kwangu

Haya songa mbele na maisha
Wala usiwaze eti nitapungukiwa kwa kumkosa huyo aliyekuw ampenzi wako wa zamani
Pambana na kazi na maisha aise
Wala usiwaze habari za mambo yaliyopita
Mpe upendo unaostahili huyo mpenzi wako wa sasa na sahau kama ulishawahi kutendwa
 
Ha ha ah,
Nimekusoma Mr Rocky,tena sana

Badilika basi
Achana na kuwaza yaliyokwishapita tena matapishi yako
Hata kama ulikula samaki wako mzuri akishatapikwa sio samaki tena ni matapishi
Achana na kuganga yaliyopita bana waza maisha yako na familia yako utakayotengeneza na mtarajiwa wako wa sasa
 
Kaka usijali tuendelee tu kumshauri huyu ni mwanaume mwenzetu, ingawa watu wanaliponda jukwaa letu la MMU, tutakomaa nao hivyo hivyo,

Siku naenda Mwarujo nilikomaaje hapo Hungumalwa mpaka walipokuja wenyeji wangu kunichukua hamu imeniisha.

Mkuu sometime sisi wanaume tuna vituko sana
Unapendwa na kuonyeshwa upendo wa hali ya juu
Kumbe moyoni mwako unamuwaza ex wako wa miaka hiyo
Wengine hadi stimu ili zipande ni lazima wakumbuke wale wa zamani yaani inakuwa walio nao hawana hisia nao kabisa

Hahahahahah mkuu pabaya sana pale haswa usiku huwezi pita pale aise
 
Badilika basi
Achana na kuwaza yaliyokwishapita tena matapishi yako
Hata kama ulikula samaki wako mzuri akishatapikwa sio samaki tena ni matapishi
Achana na kuganga yaliyopita bana waza maisha yako na familia yako utakayotengeneza na mtarajiwa wako wa sasa

Hapo sawa!
 
Mkuu sometime sisi wanaume tuna vituko sana
Unapendwa na kuonyeshwa upendo wa hali ya juu
Kumbe moyoni mwako unamuwaza ex wako wa miaka hiyo
Wengine hadi stimu ili zipande ni lazima wakumbuke wale wa zamani yaani inakuwa walio nao hawana hisia nao kabisa

Hahahahahah mkuu pabaya sana pale haswa usiku huwezi pita pale aise

Ha ha ha ha,sasa inakuwaje hapo aisee kama stimu hakuna alafu umeoa mke,si migogoro tu alafu hatimaye anachukua houseboy
 
Hapo sawa!

Hapo ni sawa Scofield kwa maana ya kwamba ushauri mliotoa uko relevant.Ishu inakuwa kwangu sasa kuanza kutekeleza,Manake sometimes when we speak of things they tend to be easy,lakini
 
MKuu kweli! ndani ya ndoa kuna mambo hasa hii red inabidi kukabiliana nayo, bahadae unazoea tu ulienae unamzoea.

Pale jamaa walitaka kunizingua nikawaambia mie sio wa hivyo, kama vipi zikija basi nasepa, mbona pale kibao mida yote usafiri wa kumwaga. nilale sehemu kusikokuwa na Ngeleja.
 
Kwa mfano wewe ungekuwa umeshaonana na Leah ungekuwa na the same character
Ili kumridhisha uliye nae ungekuwa unamkumbuka kwanza Leah na ndio mambo mengine yapande
 
MKuu kweli! ndani ya ndoa kuna mambo hasa hii red inabidi kukabiliana nayo, bahadae unazoea tu ulienae unamzoea.

Pale jamaa walitaka kunizingua nikawaambia mie sio wa hivyo, kama vipi zikija basi nasepa, mbona pale kibao mida yote usafiri wa kumwaga. nilale sehemu kusikokuwa na Ngeleja.

Kweli mkuu
Kwenye maisha ya ndoa kuna mengi sana
Yaani mtu anamkumbuka ex wake wa zamani kupata stimu ya ndoa ya sasa
Na ni mbaya sana
Inabidi kuwa makini sana kwenye kuoa na uhakikishe hata kama una hisia za mpenzi wako wa zamani uziondoe kabisa kichwani mwako ili kumpenda huyu wa sasa uliye nae na kuwa na hisia nae

HAhahahaha tushawahi kulala pale tena kwenye gari hadi saa kumi alfajiri basi likapita ndo wakaturuhusu
Ni noma wale afande wanajifafanya wakatili na wanajali usalama mbaya klumbe wenyewe wanashirikiana na mijamaa huko mbele ya kuwafanyizia watu
 
Mkuu;unajiumiza bure kwa huyo Leah;mfute kabisa mawazoni na hamisha moyo wako kwa huyo wa sasa
 
Hapo ni sawa Scofield kwa maana ya kwamba ushauri mliotoa uko relevant.Ishu inakuwa kwangu sasa kuanza kutekeleza,Manake sometimes when we speak of things they tend to be easy,lakini
Ndio maana tunakwambia jaribu sana kumpenda ulienae. na hisia ndio zitakuja lakini kama unamfikiria mwingine lakini jogoo anawika poa tu we zama ukitaka kufunga bao unamfikiria Leah! si kesi imeisha?
 
Hapo ni sawa Scofield kwa maana ya kwamba ushauri mliotoa uko relevant.Ishu inakuwa kwangu sasa kuanza kutekeleza,Manake sometimes when we speak of things they tend to be easy,lakini

Ni uamuzi tuu na kuamua ni kitu gani unataka
hakuna biashara ya kusema kuwa kusema ni easy na kutenda ni ngumu bana
Amua kile unachotaka na kiamuulie kukitenda pia
 
Back
Top Bottom