Blaki Womani ,kwa kweli mkuu katika suala la mapenzi nimejifunza jambo moja...kama una tatizo la kuumizwa dont keep quiet...you have to shout..watu watakusaidia..watakupatia Counselling..hatimaye utaona ni mambo ya kawaida.......huwezi kuamini siku hizi Leah hata hayupo akilini kwangu ...namwona mtu wa kawaida sanaaaa....na hua najiona nilikua mjinga sana kuwa katika hali kama ile...Hua namshukuru sana Mungu na marafiki zangu hasa wa JF kunivusha katika wakati ule.....Nimetupa kule...Ana maisha yake nina maisha yangu...tuko mikoa tofauti,.....sijui anachokifanya.....hajui ninachokifanya