Kule nchi bado haijatulia ndo maana watu wa Eritrea wanakimbia sana, maana amani bado hajawa stable, na vile visichana vyao vina wivu noma, halafu kuchapiwa ni sehemu ya maisha. Kuna Mbongo mmoja yupo pale ana zaidi ya miaka 20, ukifika Asmara ni mtu maarufu sana.