St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,195
Kajambe kule dume zima linaona wivu mwanaume mwenzie kuandika kizungu,sijui la wapi hili
Wacha bana
Ulitumwa kukimbia umande mxyuuuu
Mwalimu unatambaaa hehehehehe
Nkichoka ntachuchumaa
Boom lenyewe la mawazo akae na kiboifrend afe njaa, we unamuamsha alfajiri akapande sijui sabena teh tulia bana mtoto yupo ndani ya private car, kavaa kigauni kifupi, anakula kiyoyozi dereva anachange gia huku mkono pajani....maisha ni matamu haki a mama
Huwa najaribu kuwaanda kisaikolojia vijana wakubaliane na ukweli kuwa kabla hujamuoa ujue haupo peke yako!! napataga upinzani mkubwa sana, lakini ukweli ndo huo, na hivi ni long distance relationship ndo kabisaaaaa.
Hapo ni wazi kablock jamaa temporarily ili asimletee kiwingu 'jamaa mpya' aliyenaye akagundua
Inawezekana ni kweli amesafiri. Lakini kwa mambo yake hayo, inaonesha kuna mtu yupo zaidi yako ndiyo anawasiliana nae kwa sasa na labda ndiyo wanaenda kukutana. Siyo kama nakuumiza moyo lahasha ila mambo haya yapo. Ana babie mpya.
Haya masuala yako ndio changamoto ya maisha yangu kwa sasa nimeachana na demu wangu wa miaka 12 ni ex-wangu lakini tumekuwa marafiki muda wote ila sasa nimemwambia acha nimove on na life yangu. hakupendelea lakini ndio uamuzi wangu.