Niko njia panda

Mwishomi mwa mwaka kunatokea ajali nyingi sana sasa hizi za mapenzi ndo nyingi za kuwekana majeraha ya moyo na spare part hakuna

ila hao viumbe wakati mwengine unaweza kupigwa kibuti hata sababu hujui mpe mda siku 1,2,3.... Ikiwezakana week ikipita hapo shukuru Mungu tafuta manzi mwengine
 
Nashkuru kwa ushaur sista,lkn sikukuu ndo imepelekea anifanyie hvo?

Wewe dogo vipi? mbona hiyo ndiyo kawaida ya maisha? huyo kaenda mahali kulamba asali lakini mwisho wa siku atagundua hakuna asali ya kumshibisha; tulia atarudi, ila ukweli ndio huo jua unapsi taim naye wala usiumie bure kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo pia dumu sana kuvaa makoti ya mvua kabla hujazama chumvini
 
Your story with her simply is over. Deal and learn on how to accept reality!
Be confident to face worst moments in life. This is one of them. You have bright another day tomorrow, never rely your feelings to someone you just met with once, didn't you expect her to leave you or you leaving her one day? Hope it's all about probability, forget her! Move on
 

Kabla hujageuka Lowassa na kuweka uwamuzi mgumu stahamili mpaka upate jibu lake. Duniani kuna mengi huwezi kujua pengine cm yake imeibiwa. La msingi wewe mwachie atakuja kukupigia mwenyewe kama kulitokea sitofahamu flani. Hasa ukiangalia jana mlikuwa poa mpaka last minute. Lakini pia inawezekana kuna aliekuzidi ndio yupo nae kwa sasa.
 
Ya nini yote haya.Sidhani kama kuna sheria inayokataza mtu kuongea lugha yoyote anayotaka isipokua yenye maudhi(matusi).

Yani kuna watu wana wivu nmebaki namshangaa hadi nmeeka chupi kichwani
 
Ya nini yote haya.Sidhani kama kuna sheria inayokataza mtu kuongea lugha yoyote anayotaka isipokua yenye maudhi(matusi).

Aliyeomba ushauri kaandika Kiswahili safi, wewe unakuja hapa kumjibu kwa kingereza una uhakika gani atamwelewa?? Huoni hata hiyo post yake jamaa hajaweza kuijibia chochote..
 
hakuna ushahidi wa wazi wa usaliti zaidi ya huu hapa.
 
Milima na mabonde ya maisha hiyo.

Tuliza kichwa endelea na shughuli zako utapata majibu tu ya nini kinaendelea.

Pole na ukumbuke kula maana nahisi kama hujala leo vilee...
 
Aliyeomba ushauri kaandika Kiswahili safi, wewe unakuja hapa kumjibu kwa kingereza una uhakika gani atamwelewa?? Huoni hata hiyo post yake jamaa hajaweza kuijibia chochote..

Asingeelewa angeomba amweleweshe wala hakukua na sababu kuandika hicho ulichoandika.Ni mtazamo tu.
 
Hakuna ulichopoteza zaidi kuliko ulivyopata kutoka kwa huyu mchumba wako,kikubwa ulichokipata ni elimu ya bure na ya hakika juu ya viumbe hao,move on na sahau kama kuna mtu kama huyo duniani,mfute kwenye simu na kichwani pia.

Ni ngumu kukubariana na Moyo wako lkn imetokea na haina namna.
But remember
Problem is not a problem but ur atitude toward a problem is a problem
 
Ni changamoto tu, kaza moyo... Love is an art mi huwa wanawake kwenye relationship nawaona kama kijimfumo fulani kilicho jaa changamoto ambacho kila sekunde kinahitaji updates, sometimes we need to fake updates ili hio systems ione tuna care ila its nothing zaid ya kama kazi ya F5 kwenye keyboard..

Potezea sahau tafuta mwingine wa kusaidia ku balance schedule yako
 
Ahsante kwa ushaur brother paulo

Aliyeomba ushauri kaandika Kiswahili safi, wewe unakuja hapa kumjibu kwa kingereza una uhakika gani atamwelewa?? Huoni hata hiyo post yake jamaa hajaweza kuijibia chochote..

Na hiyo post hapo juu sio jibu?
Acha wivu wa kithenge mwanaume utajalawitiwa bureeee sasa mtu akiandika kingereza we unawashwa nini, nyokyo wewe
 
Inawezekana ni kweli amesafiri. Lakini kwa mambo yake hayo, inaonesha kuna mtu yupo zaidi yako ndiyo anawasiliana nae kwa sasa na labda ndiyo wanaenda kukutana. Siyo kama nakuumiza moyo lahasha ila mambo haya yapo. Ana babie mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…