Niko njia panda

Aisee!! Wanawake wana act according to the way we treat them!!

Kwa style hii akija na bonge la sorry, unasamehe!! kuwa mkali sana unapodeal na mambo kama haya, huu ujinga wa kiblockiwa hautajirudia.
 
Aisee!! Wanawake wana act according to the way we treat them!!

Kwa style hii akija na bonge la sorry, unasamehe!! kuwa mkali sana unapodeal na mambo kama haya, huu ujinga wa kiblockiwa hautajirudia.

nmekuelewa mkuu,shukran sana
 
Ukisubiri umkute laivu Na MTU utakesha, ushapata jibu amua. hivi viumbe hatutoki navyo sayari moja wanajifanya wa akili sana

shukran kwa ushauri mkuu,
 
mpaka kufikia Hapo nadhani jibu unalo lakini hutaki kuliamini kama hilo ndio jibu.. Cha kufanya ni wewe mwenyewe kukubali kuwa Huyo ameshakuponyoka na Amekwenda kwa anayestahili.

shukran kwa ushaur mkuu
 
ungenishaur cha kufanya sister,nko njia panda kuliko kuzid kunitia hasira...maana sielew hata kinachoendelea

Bilget wa jf dem wako ana papaa mukulu kirahisi nimuite sponsor we tafuta tu pengine ujiweke
 
Sawa Evelyn Salt,

Huyo binti hakuwa na njia mbadala ya kumweleza badala ya kumtesa kiasi hicho....

Kwa vile yalishanikuta, nimehisi hasira sana!
Ha ha ha aah babu hayo mambo ya kawaida buana kila mtu ana zamu yake ya kuumizwa
 
Last edited by a moderator:
Kijana mwenzangu tulia wala usipanic huyo kashapepea so unachopaswa kukifanya kaa kimya then tafuta mwngne huyo achana nae kashindwa kuwa mkweli kwako so yanini kumg'ang'ania???? Tupia kulee haendani na wewe mkuu!
 
Hii ndiyo JF dogo...

Wewe tafuta njia za kumaliza matatizo yako haraka ili ule sikukuu na udhu....Vinginevyo utaishia kuhangaika na watu ambao wameingia JF kusogeza masaa!
Ha ha ha aende kwanza double h akaagize kukuchoma na Fanta, akili ikae sawa
 
BILGERT pole kwa yaliyokukuta b'se kamwaga mboga wewe usimwage ugali ila kimbia nao soon atarud huyo 😱
 
Last edited by a moderator:

Acha bwana utamliza kaka wa watu,hivi hamna fast jet za iringa dsm?
 

Acha bwana utamliza kaka wa watu,hivi hamna fast jet za Iringa dsm?
 
Clown Ass Niga hutopata cheo cha Nyani Ngabu humu na inglishi yako ya Lyrics

Ya nini yote haya.Sidhani kama kuna sheria inayokataza mtu kuongea lugha yoyote anayotaka isipokua yenye maudhi(matusi).
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…