Niko njia panda

Niko njia panda

Hi All,
Mwenzenu yamenikuta, niliyempenda kwa miaka mingi hatimaye amekataliwa na wazazi na ndugu zangu, kisa ni tofauti ya kidini baina yangu na mpenzi wangu huyo wa kike, licha ya yeye mwenyewe kuwa wazi na kunihakikishia kwamba atabadilil dini , still haiawashawishi wazazi na baadhi ya ndugu zangu. hoja kubwa ni kwamba hawa wadada ambao wanatoka islam na kuhamia ukristo huwa mbeleni wanabadilika sana, mi sina uhakika na hilo but msimamo wa wazazi ndio huo na sioni dalili ya kubadilika, ni binti ambaye ninampenda sana, mno yani. nawaza je niwapuuze wazazi nikae naye hata bila ndoa? au nimpe mimba halafu niwatege wazazi? bado sijamwambia kama nyumbani kwetu wamemkataa. help plse. (nitarudi jukwaani kesho jioni). Usiku Mwema.
Mwenyezimungu amlinde huyo dada asitoke kwenye UISLAM WAKE,NAMI NAOMBA WAZAZ WAKO WAKUKATALIE ILI KUMNUSURU HUYO DADA YETU WA KIISLAM
 
Anabadili dini ili aolewe na wewe au kwa sababu anaipenda na ameiona kweli???

Think again...ni heri mkaoane kiserikali kuliko kuanza kudanganyana na mambo ya imani.

Nadhani hata mimi mwanangu akiniambia anataka kuolewa (say na Mhindu) na yeye anataka kubadili dini nitakataa. Simply because hiyo conviction ya kuwa Hindu ameipata baada ya kumpata huyo mwanaume. Say mmeachana, will she go back? Msicheze na imani nyie madogo...ni heri kila mtu abaki na dini yake ila mkubaliane malezi na makuzi ya watoto kabla hamjaoana!

In other words nasema, naungana na wazazi wako kupinga uhusiano wenu!!!!

Find someone else or else kafungeni ndoa serikalini.
hakuna ndoa hapo,ndo halali ni zile zinazotambuliwa na mungu,wakioana kwa utarayibu huo ni kwamba wanazini kama wanavyozini sasa
 
mhusika anapaswa kumuoa mtu wa dini yake atapata utulivu ziad,wanawake wapo wengi sana ajipange atapata mwingine
 
Huyo binti nani anamuoa??????

Unamuoa wewe au ndugu na wazazi wako ndo wanamuoa???
 
Achana nae huyo dada,wazazi siku zote wanapokukataza kitu huwa wanakutakia mema na pia wameona mbali kutokana na experience yao ya maisha,hakuna mzazi anayependa mtoto wake apatwe na misukosuko hata siku moja na wazazi wako wanajua fika kuwa tatizo lolote litakalojitokeza katika ndoa yako kutokana na wewe na huyo unayetaka kumuoa litawagharimu pia na wao na ndugu zako wengine mana wazazi wako hawataweza kukutenga zaidi ya kukusaidia.(mchuma janga hula na wa kwao)

It's true kwamba unampenda au mnapendana na wewe ndio utakayekwenda kuishi naye,lakini kumbuka wazazi wako ndio miungu ya pili hapa duniani hata kwenye biblia imeandikwa" waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi duniani"

Naamini kama utawapuuza wazazi wako siku moja utajuta mana itakuwa "too late to catch the bus",cha msingi kaa chini na huyo dada mwambie jinsi unavyompenda yeye na kumuheshimu na pia unavyowapenda wazazi wakona kuwaheshimu na pia msimamo wa wazazi wako ili ajue mapema ili asije akaendelea kupoteza muda wake kwa kukusubiri ufikie muafaka na wazazi wako wakati we umeshaona kabisa wamekaza kamba.

Tafuta mtu wa imani yako na yeye mwache apate mtu mwingine ambaye ata mu accept vile vile alivyo.
 
Uko njia panda ya chalinze au segera au mombo mbona ki2 iko wazi mkubwa cha fanya we amua uamumuzi mgumu ila yakikukuta utajua kama hii ndo dunia
 
its just too selfish to change someone religions and so does her identity, culture and belief because of you. The least you could is everyone to remain in his/her belief. You are blackmailing her with marriage. Just Look for someone else.
 
Hi All,
Mwenzenu yamenikuta, niliyempenda kwa miaka mingi hatimaye amekataliwa na wazazi na ndugu zangu, kisa ni tofauti ya kidini baina yangu na mpenzi wangu huyo wa kike, licha ya yeye mwenyewe kuwa wazi na kunihakikishia kwamba atabadilil dini , still haiawashawishi wazazi na baadhi ya ndugu zangu. hoja kubwa ni kwamba hawa wadada ambao wanatoka islam na kuhamia ukristo huwa mbeleni wanabadilika sana, mi sina uhakika na hilo but msimamo wa wazazi ndio huo na sioni dalili ya kubadilika, ni binti ambaye ninampenda sana, mno yani. nawaza je niwapuuze wazazi nikae naye hata bila ndoa? au nimpe mimba halafu niwatege wazazi? bado sijamwambia kama nyumbani kwetu wamemkataa. help plse. (nitarudi jukwaani kesho jioni). Usiku Mwema.

Mie nilikuwa na waalim walio oana dini tofauti tofauti.
Na watoto wao, wengine wakitwa PETER, HASSANI, marry na Fatuma.
Na kuna waalim wengine watoto wao wakiwaita majina ya kiswahili, kama vile PENDO, SIRI, TUMAINI, IMANI, Vita, nk.
Kuna nesi mmoja na bwana afya mmoja dini tofauti, walipo zaa mtoto wakamuita DINI. Na mwingine Wakamwita MATATIZO.

Ushauri wangu, nendeni kaoaneni mahakamani ki siri, wazazi wasijue.
Mkitoka hapo munaishi pamoja daima bila wazazi kujua kama mumeoana.
Ndio munaweza kuzaa, na mukizaa watakuwa wanaheshm malezi ya watoto.
Kaishi mbali na wazazi wenu kunusuru penzi lenu. Na musipende kuishi na ndugu zenu nyumbani kwenu, kila mtu na maisha yake. Ila penda kuwasaidia wazazi wako, na kuwatembelea tembelea mwaka mara moja.

Nafikiri wanahofia utakimbilia kwenye uislam na watakupoteza. Watoto wako nenda nao kanisani, nenda kanisani kama kawaida ila husilazimishe mtu abadili dini, rangi yeke, ngozi yake, na umbile yake kwa ajiri eti wazazi wako hawapendi alivo. Na wazazi au jamaa wa mwanamke wakisema hawakutaki kisa wewe ni mkristo, mutaenda dini gani? wewe utabadili au yeye atabadili?

Hata ukioa mkristo anaweza kubadilika pia, binadam ni binadam.
Kuna watu wanaoana dini sawa na wanashindwana na kuna watu wanaoana dini tofauti na wanadumu daima.

Wazazi unaweza kuwazungusha zungusha, mwisho wata give up, wewe ni mwanaume bwana.
Hivo ukisikiliza wazazi jamaa ndugu watakuaribia maisha yako na watoto wako, fuata moyo wako.

Mjomba wangu alioa mkristo, hivo wazazi walimshauri amuache na aoe wa kislam.
Mjomba alimpenda sana mkewe, hivo ikabidi atumie akili yake adanganye wazazi wake.
Akawambia akimpata binti wa kiislam atakae mpenda utamuacha mkewe.
Miaka nenda miaka rudi akawa anaishi na mkewe wa kikristo, wakimtaftia mke wa kislam anaenda kunywa pombe siku ya kumuona, binti anakimbia na kutangaza bwana wenyewe mlevi. Mara ingine akivaa kipensi na singrend, alifanya vitendo akijua atakataliwa na akikataliwa basi ndio kajiokoa kuoa mke hasie panga yeye mwenyewe.

Wameishi miaka zaidi ya 40 pamoja, na wamezaa watoto 8.
Hii story niliambiwa na huyo shangazi yangu wa kikristo, alikuwa hapendwi na mama zetu hivo ugomvi kila siku na alivumilia kwa vile alimpenda mjomba na mjomba alimpenda shangazi.

Jiongoze baba, husikubali kuongozwa utaribikiwa.
Fanya vituko vya ajabu ajabu, kuwa mjanja kama wazee wa zamani.

GOOD LUCY
 
Somoe umeongea mambo mengi, duh maamuzi magumu lol, i will think twice for the sake of love
 
Last edited by a moderator:
Oa tu mkuu,tena hao islam wakibadili dini wanaishika hasa.mitihani huwa inakuwa mingi sana toka kwao ila huisha mkishakuwa na watoto, shemejio ametoka huko sasa anagonga maombi hakuna cha kiti wala sofa.
 
Mshirikishe Mwenyezi Mungu katika hilo, peke yako hutaweza!
 
Anabadili dini ili aolewe na wewe au kwa sababu anaipenda na ameiona kweli???

Think again...ni heri mkaoane kiserikali kuliko kuanza kudanganyana na mambo ya imani.

Nadhani hata mimi mwanangu akiniambia anataka kuolewa (say na Mhindu) na yeye anataka kubadili dini nitakataa. Simply because hiyo conviction ya kuwa Hindu ameipata baada ya kumpata huyo mwanaume. Say mmeachana, will she go back? Msicheze na imani nyie madogo...ni heri kila mtu abaki na dini yake ila mkubaliane malezi na makuzi ya watoto kabla hamjaoana!

In other words nasema, naungana na wazazi wako kupinga uhusiano wenu!!!!

Find someone else or else kafungeni ndoa serikalini.
Naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom