mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 936
Hi All,
Mwenzenu yamenikuta, niliyempenda kwa miaka mingi hatimaye amekataliwa na wazazi na ndugu zangu, kisa ni tofauti ya kidini baina yangu na mpenzi wangu huyo wa kike, licha ya yeye mwenyewe kuwa wazi na kunihakikishia kwamba atabadilil dini , still haiawashawishi wazazi na baadhi ya ndugu zangu. hoja kubwa ni kwamba hawa wadada ambao wanatoka islam na kuhamia ukristo huwa mbeleni wanabadilika sana, mi sina uhakika na hilo but msimamo wa wazazi ndio huo na sioni dalili ya kubadilika, ni binti ambaye ninampenda sana, mno yani. nawaza je niwapuuze wazazi nikae naye hata bila ndoa? au nimpe mimba halafu niwatege wazazi? bado sijamwambia kama nyumbani kwetu wamemkataa. help plse. (nitarudi jukwaani kesho jioni). Usiku Mwema.