Kwani we unawaolea wazazi wako?kalaghabaho!
Pole sana lakini nadhani wewe mwenyewe hujui moyo wako ukubali nini.Wazazi au Mpenzi,na vile vile ni bora ukamuelewesha mpenzi wako ukweli akajipanga kuliko kukaa kimnya,na jaribu kuwaeleza wazazi wako kilicho ndani ya moyo wako na wapi mme toka na huyo bint,ikiwa wamekuelewa sawa la hawajakuelewa ni bora umueleze huyo bint ili ajue atafute ustarabu wake,na kumpa mimba huyo bint sio sababu ya wazazi wako kukubaliana na ombi lako ila ndio utatibua zaidi itaonyesha wazi kua umefanya kusudi sasa hapo sijui itakua unawaheshimu mamuzi yao au unawalazimisha.Hi All,
Mwenzenu yamenikuta, niliyempenda kwa miaka mingi hatimaye amekataliwa na wazazi na ndugu zangu, kisa ni tofauti ya kidini baina yangu na mpenzi wangu huyo wa kike, licha ya yeye mwenyewe kuwa wazi na kunihakikishia kwamba atabadilil dini , still haiawashawishi wazazi na baadhi ya ndugu zangu. hoja kubwa ni kwamba hawa wadada ambao wanatoka islam na kuhamia ukristo huwa mbeleni wanabadilika sana, mi sina uhakika na hilo but msimamo wa wazazi ndio huo na sioni dalili ya kubadilika, ni binti ambaye ninampenda sana, mno yani. nawaza je niwapuuze wazazi nikae naye hata bila ndoa? au nimpe mimba halafu niwatege wazazi? bado sijamwambia kama nyumbani kwetu wamemkataa. help plse. (nitarudi jukwaani kesho jioni). Usiku Mwema.
niwekee link ya hiyo topic nyingine nione mwenzang alishauriwa nini saudari
Kama amekubali kumuacha Mungu wake (kubadili dini) unadhani atashindwa kukuacha wewe huko siku mbele?Hi All,
Mwenzenu yamenikuta, niliyempenda kwa miaka mingi hatimaye amekataliwa na wazazi na ndugu zangu, kisa ni tofauti ya kidini baina yangu na mpenzi wangu huyo wa kike, licha ya yeye mwenyewe kuwa wazi na kunihakikishia kwamba atabadilil dini , still haiawashawishi wazazi na baadhi ya ndugu zangu. hoja kubwa ni kwamba hawa wadada ambao wanatoka islam na kuhamia ukristo huwa mbeleni wanabadilika sana, mi sina uhakika na hilo but msimamo wa wazazi ndio huo na sioni dalili ya kubadilika, ni binti ambaye ninampenda sana, mno yani. nawaza je niwapuuze wazazi nikae naye hata bila ndoa? au nimpe mimba halafu niwatege wazazi? bado sijamwambia kama nyumbani kwetu wamemkataa. help plse. (nitarudi jukwaani kesho jioni). Usiku Mwema.
Hi All,