The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Msaada ninaohitaji ni namna gani naweza breakup na bf wangu bila kumuumiza wala kumfanya awachukie women
Hapa naona sababu ya kwa nini unaendelea kumganda huyo mwanaume....mie nina miaka 24 na yeye 38 uwezo wake wa pesa siufahamu ila ni MD wa kampuni flani
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu
Kumbe wewe ni nani kama sio msaliti. Ndugu yangu achana na mume wa mtu hujui walikotoka walah,wewe umekuta vinaelea kumbuka kuna muundaji. Hebu jaribu kuunda vyako na wengine wavipende. Remember what goes around comes around, na itakapotokea kwako utaona unaonewa . Zinaa haina rafiki achana na mume wa mtu tena ukijulikana utafanyiwa jambo baya sana. Mimi nadhani wewe umezoea kua na waume za watu ndio mana unataka usiitwe msaliti au gaidi wa mapenzi ya watu loh, hebu ona haya mtoto wa kike. Huko nje kuna wanaume wengi single hebu toka uone, Ikimbie zinaaa kwa speed kubwa, mpinge shetani nae atakukimbia. Usimpe chumba ibilisi hatokubali kukuachia unless umeenda kwa Yesu.Deepa mimi siyo msaliti na ndiyo sababu ilinitake time mpaka kuanza kuse.x na huyu mume wa mtu
Msaada ninaohitaji ni namna gani naweza breakup na bf wangu bila kumuumiza wala kumfanya awachukie women
Deepa mimi siyo msaliti na ndiyo sababu ilinitake time mpaka kuanza kuse.x na huyu mume wa mtu
huwa tukisema hapa wanawake hamna akili mnasema tunawatukana ........ona sasa,hivi wewe una akili kweli? yaani umesoma kabisa teana una degree ya miaka minne,bado unafanya ukahaba? unaponishangaza zaidi badala ya kuomba ushauri wa kuachana na mume wa mtu,unaomba ushauri wa kumuacha mpenzi wako(aliye single) kisa tu,yupo nje kwa hiyo unamiss kufumuliwa!!
Hata hivyo sio kosa lako,hii ndio nature yenu nyie jinsia ya pili,wote akili ile ile tu,
Ahsante mungu kwa kuniumba mwanaume!
umemjulisha?Azote ni kuwa nimepata ujauzito wa huyu mume wa mtu thats why nikasema kumwacha kwasasa haiwezekani
hehhhheeeeh! ana kaugonjwa kanaitwa "genital epilepsy".na kanakuwa provoked na waume za watu.Acha ushetani we mwanamke si vyema kuendekeza nyege zako hadi kupelekea kuvunja ndoa za mwenzio pili hebu jichukulie wewe ni yule mkewe wa huyo mzinifu mwenzako ungejisikiaje? Mi nahisi unaugua utahira wa mapenzi kwa kuendekeza nyeg,e zako.KAMA KWELI WE UNAVUTIA NA ELIMU HUWEZI KUNG'ANG 'ANIA MUME WA MTU NDO NYIE MNAOTUFANYA TUONEKANE SISI WANAWAKE HATUNA AKILI KILA SIKU.
Ok ni hivi wewe mwambie bf wako kua yeye hakua chauo lako na si vizuri kuforce mapenzi . Mwambie ulikua hujajitambua ndio maana ulimkubali na sasa umeujua ukweli. Sasa ni vema akaendelea na maisha mengine na umwambie umempata unaempenda asiendelee kukutafuta wala kukusumbua . Mwambie unajua ataumia lkn umeamua kumueleza ukweli . Muombe samahani kwa kumpotezea muda wake na aibu lbd atakayoipata kwa ndugu zake. Mwambie kwaheri hatutaonana tenaMsaada ninaohitaji ni namna gani naweza breakup na bf wangu bila kumuumiza wala kumfanya awachukie women
kwa mmeoana?mmezaa?tuambie basi ni miles zipi hizo mlizoenda?mpaka ushindwe achana nae,au amekuahidi atamuacha mkewe akuoe wewe?au umeridhia kuwa nyumba ndogo yake?funguka basi
Azote ni kuwa nimepata ujauzito wa huyu mume wa mtu thats why nikasema kumwacha kwasasa haiwezekani
Msaada ninaohitaji ni namna gani naweza breakup na bf wangu bila kumuumiza wala kumfanya awachukie women
Love for money.Dogo hana kitu ndiyo maana unataka kusepa.mie nina miaka 24 na yeye 38 uwezo wake wa pesa siufahamu ila ni MD wa kampuni flani