Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda
Acha ushetani we mwanamke si vyema kuendekeza nyege zako hadi kupelekea kuvunja ndoa za mwenzio pili hebu jichukulie wewe ni yule mkewe wa huyo mzinifu mwenzako ungejisikiaje? Mi nahisi unaugua utahira wa mapenzi kwa kuendekeza nyeg,e zako.KAMA KWELI WE UNAVUTIA NA ELIMU HUWEZI KUNG'ANG 'ANIA MUME WA MTU NDO NYIE MNAOTUFANYA TUONEKANE SISI WANAWAKE HATUNA AKILI KILA SIKU.
mie nina miaka 24 na yeye 38 uwezo wake wa pesa siufahamu ila ni MD wa kampuni flani
Azote nadhani hujanielewa mie kuachana na huyu mume wa mtu inakuwa vigumu kwani tushaenda extra miles si juu yangu tena kuamua
Ungejiheshimu ungebeba wame za watu acha kukoromea watu wanakuambia ukweli zinduka we mwana dada.Nashindwa kuelewa lipi linakufanya ung'ang'anie mume wa mtu jamani?Jiamini hata kama una sura kama mama Anna Mkapa una stahili kupata chako cha peke yako dia.
huyu bint namjua sana ni ki malaya kilicho bobea
nini maana ya kupoteza muda wa kaka wa watu,bidada jielewe bhana haiwezekan utoke na mme wa mtu ka vile mali yako.Tafuta wako umiliki
duh,kweli waume za watu ni kama magazeti pendwa!!lol
mtoto wa kulwa,no nene nali mwanakulwa.Huyu kaniudhi sana,ndo maana kwetu wanasema fujaga ndimu,utizofuja nhola.Na huyo mwanaume naye hovyo kabisaMkuu Azote mwache apumue huyu dada hahahaha.
mtoto wa kulwa,no nene nali mwanakulwa.Huyu kaniudhi sana,ndo maana kwetu wanasema fujaga ndimu,utizofuja nhola.Na huyo mwanaume naye hovyo kabisa
ataanza hv..mama tama unajua ktk pitapita yangu nje nime...mh! Nimetia
mimba kwa ....pambaf! Atakuwa mgonjwa wa akili.
hivi dada zetu siku hizi mmekuaje?
Acha ushetani we mwanamke si vyema kuendekeza nyege zako hadi kupelekea kuvunja ndoa za mwenzio pili hebu jichukulie wewe ni yule mkewe wa huyo mzinifu mwenzako ungejisikiaje? Mi nahisi unaugua utahira wa mapenzi kwa kuendekeza nyeg,e zako.KAMA KWELI WE UNAVUTIA NA ELIMU HUWEZI KUNG'ANG 'ANIA MUME WA MTU NDO NYIE MNAOTUFANYA TUONEKANE SISI WANAWAKE HATUNA AKILI KILA SIKU.