Niko njia panda ya kona kali

Niko njia panda ya kona kali

POLE,,, Sasa ukimuoa alafu ikatokea house made kaondoka gafla na awe na mtoto mdogo c ndo itakua balaa!!!!!!!!!!

But anyway,, labda anaogopa kujishughulisha kabla ya ndoa isije kutokea mkaachana akajutia mda wake buree,, pengine aliwahi kumfulia mwingine b4 na athari zake anazijua
hilo nalo neno
 
hata kama ni mimi.....mtu ana mabobishi namna hiyo........tuna watu wetu tunaowapenda bana.....mpaka kuwaogesha.....sembuse kufua........

sasa je....!
chezeiyaaa kupeindaaaa nin weye!.....
unakunywa bia gani hapo aiseee?!hebu jiongezee moja hapo KWA BILI YAKO
 
ukimuoa huyo msichana utakuwa unatujazia seva humu m.m.u mpaka basi.
 
bid2015 Huyo mdada ni mzuri kwani ameamua kuwa muwazi kwako na kuonyesha vile alivyo ili usijesema sikujua mimi!ukitaka kujua kama anafaa kuwa mke em anza kuchunguza majukumu anayopaswa kuyatimiza mwanamke kama mke ndani ya ndoa kwenye biblia na kutoka kwa tu mbalimbali waliokwisha oa,kama anazo basi afaa kuwa mke na kama hana basi huyo ni spending material na si wife material na so what nexxt?aonaye msiba unakuja huinama nakujificha kwa hiyo mapemaaaa shtuka washa taa nyekundu kichwani ikimbie ningejua ambayo huja when it's too late to turn back the time!!!!!!!!
kinachoniumiza nishamtambulisha na nilikuwa nimeshapanga mpaka mahari na trh ilishapangwa loh
 
Last edited by a moderator:
Hakufai maana hajakupenda ipasavyo. Swala la kazi yawezekana malezi tu, au anakupima au anajiona sana na kufikiria kuwa kufanya kazi za nyumbani msomi ni sawa na kuingilia idara ya housegirl. Siku moja nilikusoma gazeti moja la Zimbabwe, mke wa rais Mugabe ana watoto wa kiume na wa kike. Alikuwa anaeleza maisha familia yake. Nilivutiwa aliposema yeye watoto wake wote wa kiume na wa kike anawafundisha kufanya kazi za nyumbani ikiwa ni pamoja na kupika! Anasema kuna wafanyakazi wengi Ikulu lakini ili kuwaandaa watoto wake na maisha yao ya baadaye anahakikisha hawakai tu ila wanafanya kazi zote za nyumbani. Anadia kwa njia hiyo watakuwa wake/waume bora wenye kuwajibika na kwa waume watakuwa wenye kuwajali wake zao kwa kuwa wanajua uzito wa kazi za nyummani. Mke wa rais huyo! Je mkeo ana hali nzuri zaidi ya mke wa rais anayepiga deki, kufagia nje, kupika, kufua na kufyeka nyasi nje ya nyumba? Kazi kwako.
mm nimekua home kwetu mtu anafanya kazi yoyote na ndo maana mpaka sasa sina housegirl naishi mwenyewe
 
Hapa naona tambo nyingi tuu!
Kwa nini usimwambie?
Hila mwanamke mvivu ni mzigo kama hatojirekebisha!
 
Pete na utambuliso si ndoa ndugu yangu watu waliofunga ndoa na kuzaaa watoto wanaachana sembuse wewe ambaye ndo kwanza mmetambulishana?ninachokiona kutoka kwako ni kuwa bado unampenda huyo binti na mengine yote utakayosema ni visingizio tu vya kutomwacha na ndio maana kama unakumbuka mwanzoni nilikuambia we ndiye mwenye uamuzi wa mwisho kwa sababu hiyo inakuhusu wewe personaly na feelings zako.

Najua kumwacha mtu sio kazi rahisi lakin inabidi utambue kuwa ndoa si lelemama na si shule au kazi kwamba kuna likizo na off days,ndoa inamaanisha fuul uwajibikaji and kwa kipindi chako chote cha maisha yako kilichobaki hapa duniani so inabidi ufikirie mara mbilimbili,na unapaswa kukumbuka kuwa kuna wakati ambapo mapenzi ndani ya ndoa hupungua kwa kiasi fulani ambapo kuona mosa ya mwenzio ni rahisi sana coz sa hivi huoni as mapenzi kwa huyo binti yamekupofusha uone upungufu wake kuwa jambo dogo sana comparing to the fact that umeshamtambulisha.

kwa maana halisi ya ndoa sasa em jiulize maswali kadhaa je utakuwa tayari kuvumila upungufu wa mkeo kwa miaka yote mtakaoishi pamoja?

je upungufu wa mkeo utakuwa kishawishi na kisingizio cha wewe siku moja kuamua kuwa na nyumba ndogo kwa madai ya kuwa tabia ya mkeo inakukosesha amani na furaha ndani ya nyumba?

ukiwa kama mume mtarajiwa nini kinakusukuma kumhudumia mkeo mahitaji yake kama vile chakula mavazi na malazi?je si upendo wako kwake?kama ungekuwa humpendi je usingeona kumhudumia mkeo kuwa mzigo?ukipata jibu geka nyuma na umfikirie huyo mkeo mtarajiwa wako nini kinmfanya asikuhudumie kama mumewe mtarajiwa?

Tafakari maswali hayo kisha ufanye uammuzi sahihi my kaka.

nakushukuru sana mkuu. naendelea kubembeleza ili awe kama navyotaka
 
POLE,,, Sasa ukimuoa alafu ikatokea house made kaondoka gafla na awe na mtoto mdogo c ndo itakua balaa!!!!!!!!!!

But anyway,, labda anaogopa kujishughulisha kabla ya ndoa isije kutokea mkaachana akajutia mda wake buree,, pengine aliwahi kumfulia mwingine b4 na athari zake anazijua

Nitafulia mume wangu tu, habari za kufulia boyfriend, kumdekia na mambo mengine ni kama kumuandalia mtu mume bora mbeleni.
 
hao ni wadada.com tupa huko. mradi ushakula mzigo hana cha kujitambia. akatafute kobota lake limuoe.
 
Nina miaka 27, nafanya kazi mkoa fulani Hivi karibuni nilipata mchumba wa kipare nikaamua nimuoe lkn kwa bahati mbaya au nzuri nishindwa kumuelewa kwasababu
1) ni mvivu sana nilienda kwake yaani hata kunifuria nguo hapana wala kunipikia
2) anamfanyakazi wa ndani kumbuka yuko pekee yake
3) kunipa penzi mpaka purukushani yaani ni bao moja tena la shida
alikuja kwangu hali ikawa hivi
A) hakugusa chombo hata siku moja
B) hakupika hata siku moja
C) hakudeki hata siku moja
D) hakunifulia hata siku moja
N.B ananiambia hawezi kujibembeleza kwa mtu coz ataonekana sio msomi.. yeye ni bank officer na anafanyia kazi mkoani kwetu means home kwetu anapajua kipato changu ni mara tatu yake yy salary yake ni laki 7 kwa vyovyote nampita mbaaali na pia home tuko vzr kuwazidi wao sana.
sasa nashindwa kuelewa huyu dada kwann yuko hivi yaani mm pamoja na hela nazopata na KUWA MWANAUME naishi pekee yangu
Je huyu mdada anafaa kuwa mke? nishaurini waungwana

Huelweki ulipata mchumba ukaamua umuoe kwa hiyo siyo mchumba tena bali ni mke ama??? Kipato hakina nafasi ktk mapenzi ya kweli nyote kila mmoja anataka awe juu ya mwenzake you wont suit one another ever....kuna mabo huitaji kupeleka pupa kama kweli unampenda na unaitaji abadilike ongea naye kwa utaratibu kuhusu hilo ila pia waweza kucheza na Psych yake ukija kwako mchukulie kama mgeni mwingine yoyote andaa msosi na mengineyo as if uko single bado i believe atajua anapaswa kufanya nn kama abadiliki jiongeze
 
Kwa nini wapenzi mnashindwa kuzungumza?
Hapo mimi ndio nashindwa kabisa kuelewa, kwa nini ukose uhuru na mpenzi wako, ongea nae mweleze nini unapenda na kitu gani ungependa akufanyie wewe kama mpenzi wake..! Ukiona hamuendi sawa, kila mtu achukue ustaarabu wake..!

kashatoa angalizo yeye ni bank officer, sasa sijui aliyemwambia mabank officer hawafanyi hizo shughuli nani?? anyway ulichosema ndio point ya msing..
 
Nani kasema girlfriend au mchumba wanafuliana na kudekiana vyumba?mila za muafrika wala imani yangu ya dini haziruhusu hadi hapo mnapooana.

nakubalina na wewe, ila mwanaume ataamini vip kama akikuoa utaweza kufanya shughuli zako kama mama wakati hajawah kukuona ukifanya hivyo ila unachotakiwa kufanya ni kumuonyesha kwa vitendo kama unaweza kuwajibika kama mwanamke na umwambie kwamba unachokifanya si sahihi kukifanya wakati hajakuoa...
 
Kuna kaulimbukeni na kausista duu kanamsumbua

Ila pia kupika,kufanya usafi,na hzo nyingine nyingine ukilalamika sawa ila kukufulia bado mda wake babangu sio lazima afanye hivyo

Na ukae ukijua inauma saaAaaana kujifanya mama shuhuli wa makazi yote hayo halafu mwisho wa siku uachwe ndo mana yawezekana kama sio mvivu bas alichapata lesoni from sam wea
 
Back
Top Bottom