Nadhani hapa jibu ni rahisi sana, kila mmoja ana vigezo vyake katika kutafuta aina ya mwanamke ama mwanaume wa kuishi naye, in short ni kwamba kila mtu ana mtizamo wake.
Mfano kama ningelikuwa mimi binafsi kwa sababu hizo tu ulieleza hapo juu hadi sasa kila mmoja wetu angelikuwa kivyake na mambo yake, hivyo ingekuwa story tu ya kwamba niliwahi kuwa na mahusiano na mtu wa hivi na vile, (hapo ni mimi)
Lakini kwa mwingine kwa sababu ulizozitaja anaweza kukushangaa wewe, huyu ni mwanaume wa namna gani nk,
Ndugu fanya uamuzi sahihi mapema hayo ni maisha yako ya baadaye, haya mambo ya kuoa leo kesho mahakamani katika harakati za kuvunja ndoa sio.