mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
bid2015 uyo mtishie kwa kutompigia simu kumfuata fuata jifanye unachukua time kumuacha utaona kama hatabadilika basi ujue ni bomu utakoma ukimuoa huyo kwa kweli kama hafurahii kuwa mke na shughuli za ndani basi tena atakuwa dume mwenza.
wengi wanajisahau wanaume mna uwezo wa kupata mke atakaewatunza kwa fraha, hta kama mtu ana hg badi hg sio kugeuzwa kuwa mama mwenye nyumba. lazima mwanamke nae awajibike na kuonyasha uke.
Huyo mpe dawa yake mpotezee kumjaribu, kama akikupigia unajifanya upo busy etc hadi akome. atakutia aibu akiendelea kuwa hivyo ndugu zako hata marafiki watakucheka na ataishia kukufanya utafute nyumba ndogo ambayo sio vizuri kuzaa huku na kule.
Sasa amua je ukiishi nae utaweza mvumilia? au ndo utaishia kumpiga kwa hasira na tabia bovu.
fikiria uone ila ama awe wifi yangu ni no no noooooooooooooooo. ana dharau hata pete hajavalishwa. ukimvisha utamlamba na miguu