Mh...ukiwa unapika yeye anaosha vyombo..ukiwa unafua anapika labda...hapo kidogo nitaelewa.
Kwaiyo???? wakati wewe unafanya yote hayo yeye anafanya nini?
Yeye wakati wote huo hakufua nguo zake mwenyewe? au alikuja nazo nyingi akazikusanya?
Wakati wa kuoga nani anatangulia kuingia bafuni? in case yeye ndo wa mwisho huwa anafanya fanya usafi?
Duh, kona yako kali kuliko Msambiazi...ila rahisi sana kuinavigate.
Ana house help???? anasoma na kufanya kazi labda?
Mlikutanaje? wapi? nini kilikuvutia kwake? (hii ni kwa ajili ya wengine pia kujifunza)
1. chukua kwanza ushauri wa Neylu
2. kuwa alarmed abt the kind of wife u r about to get for yourself
NB: Babu Asprin, ulizani yule asiyefika Kibo peak ni makubwa? njoo uone huyu eti kisa mchumba basi hafanyi chochote..
N.B ananiambia hawezi kujibembeleza kwa mtu coz ataonekana sio msomi.. yeye ni bank officer na anafanyia kazi mkoani kwetu means home kwetu anapajua kipato changu ni mara tatu yake yy salary yake ni laki 7 kwa vyovyote nampita mbaaali na pia home tuko vzr kuwazidi wao sana.
hebu kamwulize tena huyo jamaaa.....
hivi amesema kabila ganiiiiiiiiiiiii?....................INAHUUUUUUUUUUUU?!ni kabila au 'alivyo ndivyo alivyo'?
Maswali mengi yasiyo na majibu.... ila pamoja na hayo yoooote mi nimepaona hapa tuuuuu baaaasi!! Hivi nyie madreva wa Rwanda mnalipwaga aje?
Na Je laki saba mara tatu ni umbaaaali kiasi hani vile?
Nina miaka 27, nafanya kazi mkoa fulani Hivi karibuni nilipata mchumba wa kipare nikaamua nimuoe lkn kwa bahati mbaya au nzuri nishindwa kumuelewa kwasababu
1) ni mvivu sana nilienda kwake yaani hata kunifuria nguo hapana wala kunipikia
2) anamfanyakazi wa ndani kumbuka yuko pekee yake
3) kunipa penzi mpaka purukushani yaani ni bao moja tena la shida
alikuja kwangu hali ikawa hivi
A) hakugusa chombo hata siku moja
B) hakupika hata siku moja
C) hakudeki hata siku moja
D) hakunifulia hata siku moja
N.B ananiambia hawezi kujibembeleza kwa mtu coz ataonekana sio msomi.. yeye ni bank officer na anafanyia kazi mkoani kwetu means home kwetu anapajua kipato changu ni mara tatu yake yy salary yake ni laki 7 kwa vyovyote nampita mbaaali na pia home tuko vzr kuwazidi wao sana.
sasa nashindwa kuelewa huyu dada kwann yuko hivi yaani mm pamoja na hela nazopata na KUWA MWANAUME naishi pekee yangu
Je huyu mdada anafaa kuwa mke? nishaurini waungwana

Huyo dada amegundua wewe una misifa ya kijinga ndo maana anakufanyia vituko hvo,kwa kifupi hana mpango na wewe kutokana na haya masifa yako ya kijinga,eti ooh una mshahara mkubwa mara kwenu mko vizur kuwazidi wao.sasa unatutangazia huo utajiri wako ili sie tufanyaje!ovyoo
tushazungumza sana Neylu lkn habadiliki kabisa yaani hata sielewiKwa nini wapenzi mnashindwa kuzungumza?
Hapo mimi ndio nashindwa kabisa kuelewa, kwa nini ukose uhuru na mpenzi wako, ongea nae mweleze nini unapenda na kitu gani ungependa akufanyie wewe kama mpenzi wake..! Ukiona hamuendi sawa, kila mtu achukue ustaarabu wake..!
punguza kujisfia kwanza
Wanawake wa kisasa hao,hapo lazima ukome tena banker,mpare mwee
Nina miaka 27, nafanya kazi mkoa fulani Hivi karibuni nilipata mchumba wa kipare nikaamua nimuoe lkn kwa bahati mbaya au nzuri nishindwa kumuelewa kwasababu
1) ni mvivu sana nilienda kwake yaani hata kunifuria nguo hapana wala kunipikia
2) anamfanyakazi wa ndani kumbuka yuko pekee yake
3) kunipa penzi mpaka purukushani yaani ni bao moja tena la shida
alikuja kwangu hali ikawa hivi
A) hakugusa chombo hata siku moja
B) hakupika hata siku moja
C) hakudeki hata siku moja
D) hakunifulia hata siku moja
N.B ananiambia hawezi kujibembeleza kwa mtu coz ataonekana sio msomi.. yeye ni bank officer na anafanyia kazi mkoani kwetu means home kwetu anapajua kipato changu ni mara tatu yake yy salary yake ni laki 7 kwa vyovyote nampita mbaaali na pia home tuko vzr kuwazidi wao sana.
sasa nashindwa kuelewa huyu dada kwann yuko hivi yaani mm pamoja na hela nazopata na KUWA MWANAUME naishi pekee yangu
Je huyu mdada anafaa kuwa mke? nishaurini waungwana
kufa sifi ila cha moto nakiona kaka NIGGA