Daaaa heshima yako Mkuu!Vijana wa NJOSS nawaona. Mi mkongwe wa enzi hizo ikiwa NJOSS boys tu O level. Nasikia ina A level siku hizi.
Siyo vitisho ndugu, huo ndo ukweli wa takwimu ulivyo. Chances za kukutana na mwenye maambukizi ni kubwa mno, uwe makini.Mbona vitisho ndugu yangu?
Balaa na ugali wa motona mida ya jioni kuna kuwa na kuku wa kukaanga,,wakubwaaaa..wamenona😤😥
A level ilianza kati ya 2001 au 2000 hivi. Nmefundishwa o level na form six graduate wa Njoss 2004Vijana wa NJOSS nawaona. Mi mkongwe wa enzi hizo ikiwa NJOSS boys tu O level. Nasikia ina A level siku hizi.
Nenda Dream mzee baba ukiona haikufai nenda viler park. Ova.Wenyeji wangu ambao mko jf mnielekeze Chimbo zuri la gambe!
Na madem wakali wa kuondoka nao!
acha kbs mkuuBalaa na ugali wa moto
Bado mdogo njoss mwaka yetu ilikuwa mix o level badae ikabadilishwa kuwa A level... She tuliofukuzwa tambaza wengi tulipelekwa pale.. Mkuu alikuwa NyiguVijana wa NJOSS nawaona. Mi mkongwe wa enzi hizo ikiwa NJOSS boys tu O level. Nasikia ina A level siku hizi.
Wenyeji wangu ambao mko jf mnielekeze Chimbo zuri la gambe!
Na madem wakali wa kuondoka nao!
Nawaza baridi hili bila kwichikwichi inakuwaje?