jamaa ni kisiwa cha ma aidia ambayo kwa haraka huwezi fikiria
hahahahahah lol
Vipi lakini HashC zakupotea ???
The Following 2 Users Say Thank You to hashycool For This Useful Post:
afrodenzi (Today), klorokwini (Today)
msitake kutuchinja tu humu! l.o.l
A..,Aaaaah, Kumbe hamfahamiani,Preta mimi na wewe uko wapi kwanza?
ulopotea weye....naona umefungiwa kabsaaaaaaa l.o.l
mi nipo tu mtu wangu..
tangu ubadilishe avatar yako ukanichunia
hahhahahhahah lol...
vipi maisha lakini??
Peoples awa ayu doing?
Peoples awa ayu doing?
kwani we ulikuwa unajua ni Muiraqii?
maisha mukide tu....kwa bi nyau ka ulaya siku hizi! lile li jamaa lenye avatar ya muvi akta la marekani nililiogapa ati!
Umesahau kuwa ndio lilikuwa swali la kwanza mimi kukuuliza?
hahahahah lol uliogopa avatar yako mwenyewe hii kali ....lol
sasa ni yule bi nyau wa pale jirani yako ndo kahamia ulaya????
au kuna mwingine huko ulaya....lol
pole pole hii ni uncle tongue....lol
great mama enock mzima?
pana fanana fanana na ulaya si unajua krismasi hiii......
Takbir................
Ndiyo napiga za mwisho mwisho kabla ya kwenda kwenye Retreat!
Anywayz Beer is the proof that God Loves us