NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Huyu hashy wako natamani hata kumfanya :hungry::hungry::hungry:
😛ray::A S-frusty2::help:
noo usimfanye hivyoo i rally need him but 4 today tu nimuonjeshe punishment,,na lakin vilevile ukweli ukijulikana kwa afrodenzi ndio ntjua cha kufanya hapa,,,tusubiri kwa sas huyu shost aje halafu tutayazungumza hapa hatutaelewana kabsaaaa,,,,,atakae mkamata amuelekeze nia ya thead hii kati yetu ok???kikao naona kistop mwasemaje wenzangu,,,,
:hungry::hungry::hungry::hungry::hungry:
kweli we leo wankamia ile mbaya.....mwenzio nisha samehewa......donge lenu tu hebu mamii burudika na hii
mpenzi nani??????? Afrodenz au mimi??????? Kama mimi mwenzangu bado namsubiri afrodenz tuu hapa ndio aseme ukweli huoni kikao kimestopishwa na watendwa,,,,, nyimbo tamu lakin yazid kuniumiza tuu.... Kivyengine watanzania watua kuimba wallah tabu nazipenda lakini sizijui majina halafu napenda sa kufata swahili yao,,,,
nilham hilo ni dongo kwetu yaani hashy anamaanisha atadumu na afro
nilham hilo ni dongo kwetu yaani hashy anamaanisha atadumu na afro
i think soo,,, but i cant bealeve my eyes for what i see,, becouse hashy was mine my dear,,,, but inshallh solution will come soon,,,
baada ya yote hayo nimekumbuka huu wimbo ufuatao
furaha yangu yote umeibeba umeondoka nayo
umeupa ufa moyo wangu nahangahika
ndio unikimbie nikikumbuka zile raha za chumbani
unanifanya nilie
baada ya yote hayo nimekumbuka huu wimbo ufuatao
furaha yangu yote umeibeba umeondoka nayo
umeupa ufa moyo wangu nahangahika
ndio unikimbie nikikumbuka zile raha za chumbani
unanifanya nilie
waitwa vipi huo mwmbo finest???? Halafu nikudokeze afro nempata kwenye thread ya mawziri sijui hapa hapa ukumbi wa malove,,,nikamshtua aje na huku sasa kaa chonjo soon kikao chaanza,,,,
utaimba sana mwaka huu.......nilham wangu tu!
Fiksi tupuTangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
vita vya panzi furaha ya kunguru, mie ndie kunguru, panzi ni hashy na finestlol!!!!!!!! Ngoja afro aje
vita vya panzi furaha ya kunguru, mie ndie kunguru, panzi ni hashy na finest
akha! Mi so panzi,panzi finest mie nilham dam dam
vita vya panzi furaha ya kunguru, mie ndie kunguru, panzi ni hashy na finest