NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
yaani alikuwa anaweka kweli msisitizo kuwa tusinunue nguo duka lingine zaidi ya duka la hashy sasa ndio naanza kuelewa ni kwanini
taratibu kaka nakusoma tu we haya....afro mi ni dada angu pande wa shangazi tumbo moja moja na bibi mpwa wake hamid yaani hami yake rashid upande wa kaka yake na dada......ni hivyo tu basi
lol!!!!!!! hakuna leo kama dada ako mkutane uchii??? tena nyamaza hashy... we tulia hapa ngoja mi nikamtafute huyu bi dada kweny thred jiran lazma na ye atakuwa akutafuta tuu we kaa hapa hapa....
basi hayo yeshapita si sababu ushaijuwa??? Hiyo ndo muhimu tuuu,
nilham hivi una habari na hii kitu au huu undugu????
maneno ya kwenye signature yangu sasa yametimia
maneno ya kwenye signature yangu sasa yametimia
na ukome...............sipati picha utakavyokuwa na wewe unapiga goti kwa afro
ajidai ataka kulia ngoja aje afro hapa kama hata anza kucheka cheka na mkono akautoa kidevuni hapo....
we acha jana hashy alikuwa anaulizwa kama aletewe maua au perfume nikachoka kabisa tena hayo yalikuwa yanafanyika mbele yangu ungekuwepo jana ni kama hashy alikuwa hanijui kabisa
na ukome...............sipati picha utakavyokuwa na wewe unapiga goti kwa afro
ye hapigi gotiii,,, afroo mpenzi ndio atakae sota kabisaaa sio kupiga goti tuu,,,
we acha jana hashy alikuwa anaulizwa kama aletewe maua au perfume nikachoka kabisa tena hayo yalikuwa yanafanyika mbele yangu ungekuwepo jana ni kama hashy alikuwa hanijui kabisa
ahhaaahhaaa ndo maana ulitaka kuniletea wahuni wa kwa mtogole?
haaaaa!!! wanambia kweli basi finest nyamaza yanitosha haya wazidi kuniumiza,,,,basi,, i cant,,,,
haaaaa!!! wanambia kweli basi finest nyamaza yanitosha haya wazidi kuniumiza,,,,basi,, i cant,,,,