Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,532
Sijui niseme ndio kampuni imechoka au Dereva kachoka ama ni sheria za usalama barabarani maana gari imetoka Shekilango saa 11 na dk 50 asubuhi hadi usiku huu saa mbili kasoro haijafika Arusha na imepita njia fupi ya Bagamoyo.
Haijaharibika njiani wala nini wala kusimama simama maana imetoka Dar level seat.
Ni kweli mwendokasi ni hatari kwa Usalama wa abiria lakini kwa speed ya serikali dereva anayejua kubalance saa kumi tungekuwa Arusha, hapa kuna tatizo.
Nikiangalia gari za Mbeya, sauli mapema zishafika.