Niko kwenye Dar express imetoka Dar saa 12 kasoro hadi sasa saa moja usiku haijafika Arusha

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Sijui niseme ndio kampuni imechoka au Dereva kachoka ama ni sheria za usalama barabarani maana gari imetoka Shekilango saa 11 na dk 50 asubuhi hadi usiku huu saa mbili kasoro haijafika Arusha na imepita njia fupi ya Bagamoyo.

Haijaharibika njiani wala nini wala kusimama simama maana imetoka Dar level seat.

Ni kweli mwendokasi ni hatari kwa Usalama wa abiria lakini kwa speed ya serikali dereva anayejua kubalance saa kumi tungekuwa Arusha, hapa kuna tatizo.

Nikiangalia gari za Mbeya, sauli mapema zishafika.
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,684
2,000
Sijui niseme ndio kampuni imechoka au Dereva kachoka ama ni sheria za usalama barabarani maana gari imetoka shekilango saa kumi nan11 na dk 50 asubuhi hadi usiku huu saa moja haijafika Arusha na imepita njia fupi ya bagamoyo

Nikiangalia gari za mbeya sauli mapema zishafika
Tulia wewe, kuna gari nyengine hufikisha watu mbinguni bila hata kutarajia.
 

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
3,091
2,000
Sijui niseme ndio kampuni imechoka au Dereva kachoka ama ni sheria za usalama barabarani maana gari imetoka shekilango saa kumi nan11 na dk 50 asubuhi hadi usiku huu saa moja haijafika Arusha na imepita njia fupi ya bagamoyo

Haijaharibika njiani wala nini

Nikiangalia gari za mbeya sauli mapema zishafika
Ukiona hivyo ni wahanga wa taratibu, wingine hao hawaguswi.
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,221
2,000
NAKUMBUKA NILIKUWA NAENDA NAIROBI TUKITOKA DAR SAA 11 NA TULIFIKA ARUSHA SAA 1 KIPINDI HICHO HAKUNA SPEED LIMIT BASI LILIKUWA SPIDER
NAHISI NI MUDA WA KAWAIDA AU KUNA LOLOTE NDUGU
 
Nov 25, 2020
72
150
Sijui niseme ndio kampuni imechoka au Dereva kachoka ama ni sheria za usalama barabarani maana gari imetoka shekilango saa kumi nan11 na dk 50 asubuhi hadi usiku huu saa mbili kasoro haijafika Arusha na imepita njia fupi ya bagamoyo

Haijaharibika njiani wala nini wala kusimama simana maana imetoka Dar level seat

Ni kweli mwendokasi ni hatari kwa Usalama wa abiria lakini , kwa speed ya serikali dereva anayejua kubalance saa kumi tungekuwa Arusha , hapa kuna tatizo

Nikiangalia gari za mbeya sauli mapema zishafika
Kwa hiyo Malia unataka kusema hadi malori yanawapita? ๐Ÿ˜‚
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom