Niko kwenye Dar express imetoka Dar saa 12 kasoro hadi sasa saa moja usiku haijafika Arusha

Butwaa kama hii niliipata kipindi flani nasafiri na shabbiby kutoka dom kwenda mbeya kupitia ile king cross mwaka 2016.

Tulitoka dom saa 12;00 asubuhi tukafika mafinga mida ya saa 1jioni, gari ikapelekwa kituo cha mafinga, askari wakatwambia nyinyi abiria dereva wenu anakimbia na gari kiasi hiki nyinyi mupo kimya tu.

Mimi i was like .

Tulifika salama mbeya saa 2 na dkka ushee hivi, majira ya usiku.
 
Back
Top Bottom