Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Hili jina haka kadogo nakajua haka

nina wax wax na iq yako ndio haka
teh teh teh teh
hutaki unaacha
 
wengi
hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa
maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi
linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.
umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano ktk mojawapo ya shule
kubwa tanzania. ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya
wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi
tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu: I
always dream big.kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT
DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe
bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.
physically am fit and sexually very active but I got the power to
control such desire. it seems that am living happily and without sex.
MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN
SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX? I have seen many
students failing to make their dreams come true due to engagement in
sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo
wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?

dogo kwanza soma na kua maana sizan hata kondom size yako ipo zitakulegea bure utaishia kuibana na pin soma kwanza
 
CD M..UOTE=genious wa kijiji;11411411]wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.
umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano ktk mojawapo ya shule kubwa tanzania. ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu: I always dream big.kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.
physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. it seems that am living happily and without sex.
MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX? I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?[/QUOTE]

Madinda family
Cc

Cc
 
jitahidi hivo ivo, ila nakuhakikishia endapo balee yako ya kwanza utaianza kwa puchu walahi hutaacha, nina experience na shule za boizi
 
Back
Top Bottom