Niko JF miaka miwili sasa

Haahahaaa C6 hongera sana aisee
Naona miaka inasonga kwa kasi sana.
Nakumbuka ulianza kujiita MTOTOSIX then baada ya kupata charminglady ukabadili jina km sio C6 basi ilianza na jingine kwanza. Lol
Haya kakuacha mbona hubadili jina tena? Au ndo kwa kumkumbuka?
Nawaza Madame B akitaka kutengeneza jina lol litakuwa refu sanaaaaa
 
Last edited by a moderator:

uwa nawaza kuunga undugu na wewe kwa anko, ila ndugu yangu wewe Erickb52 umekuwa mjanja mjanja sana hapa mjini mpaka napata kweshenmaki
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa Chit-Chat mpo vipi mademu mpo wazee wa kuuza sura mpo...ha haa ha.
 
[TABLE="width: 500, align: left"]
[TR]
[TD]Haya mkuu, but i was expecting a gold or something on your username. Next time perhaps
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

nimeshamjibu leh, soon ntabadili rangi tu, mie sipendi ma badge badge
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…