niko inlove mbaya na angel wa bongo star search | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

niko inlove mbaya na angel wa bongo star search

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by C.T.U, Feb 27, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,688
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  jamani mnamkumbuka yule binti wa arusha angel aliyekuwa bss
  Yule mweupeeeeeeeee kama zeru zeru
  Am in love jamani na huyu mtoto mwenye kunipa file lake jamani msishangae ukasikia nimemuoa yule mtoto jamani so waungwana naombeni baraka zenu na wahenga na wazee wa mnusaiie kum scan kama anafaa kuwa mke wangu au la
  Na wapi anapatikana oooo angel i luv u
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Tuwekee picha basi.....wengine hatuangalii kabisa hiyo BSS..
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,497
  Likes Received: 1,315
  Trophy Points: 280
  Kweli ndoa lazima zife baada ya wiki!
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Watangaza ndoa, kumbe hata demu hakujui kama you're existed
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,640
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  tafuta kwanza mawasiliano naye
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  kama ni kocha wa mitongozo huyu muanzisha thread siwezi kumuita katika kikosi changu!!!!!!mbinu zake za kizamani na kamwe haziwezi kuleta mafanikio.......kwa vijana wa leo walivyo na uchu na mbinu za kutisha unakuja na mbinu kama hizi unadhani unaweza kung'oa mtoto mzuri?????
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  kume wewe ndo 'My boo'
  haya bana, ila ni maini, kula tu.
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,688
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  hebu nipe mbinu bwana wewe najua kuuza kwako sura lazima utakuwa una data zake
   
 10. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,949
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Huyo shori alikua anasoma KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY Dar campus ila sahivi kahamia main campus uganda kama vipi muibukie huko huko UG.
  MAPROSOO.
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,806
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unajua yupo wapi kwa sasa?
   
Loading...